Dhumuni la chapa "666"

Dhumuni la chapa "666"

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,622
Reaction score
10,247
Miaka ya karibuni kumekua na ukuaji wa cashless technology, na kuna nchi za Scandinavia ziko katika mpango wa kuondoa ela zote katika jamii zao japokua bado hawajafanikiwa Kwa 100%.

Na ukuaji wa application ya blockchain-bitcoin ni dhahiri miaka ijayo tutakua na jamii isiyotumia ela kabisa, japokuwa inatakiwa ifanyiwe ubunifu mkubwa. Cashless society itamrahishishia mwenye chapa ya 666 kutawala dunian atatawalaje sasa ilo ndo swali

Mfano recently tumeona hata watu wachache matajiri wana miliki utajiri Mkubwa huku watu walio wengi wakiishi Kwa kuunga unga, mfano uchumi wa marekan unashikiliwa na 1% ya watu. Kiuchumi ni kitu kibaya lakin hata kiroho ni hatari sana Kwa watu wachache kuwa na nguvu za kupindikia, Kwa hy watatokea kikundi cha watu wachache wenye utajiri mkubwa sana wataanzisha chapa ya 666.

Chapa ya 666 itachukua nguvu yote ya fedha na kuiweka sehemu moja, sote tunajua mwenye ela ndo mwenye nguvu hata marekani INA nguvu Kwa sababu GDO yao ni kubwa na sio majeshi, Kwa sababu mwenye ela ndo anayesikilizwa hata kwenye familia ukiwa na Mdogo nwenye ela yeye atashikilizwa kuliko wenzake "hekima ya masikin haisikilizwi"

Baadhi ya nguvu ya fedha, ni manunuzi, ulinzi, hizo in baadhi tu, Kwa hy 666 itachukua nguvu zote za fedha na kuiweka kwenye hii chapa, Kwa hy hakuna chochote utakachonunua bila ya kuwa na hii chapa.

Na ili chapa ya 666 ifanye kazi lazima kuwe na maendeleo ya science na technology kama bitcoin ya hali ya juu ili kuondoa matumizi ya pesa kwanza ili kuwe na cashless technology, Kwa sahiv haiwez kufanya kazi Kwa sababu hatuja fikia level ya science na teknolojia ya kiwango cha juu itakayoiwezesha kufanya kazi.
 
Sijaona kama kuna la maana uliloandika.... Kwa nini usikae kwanza ukaelekezwa na wanaofahamu halafu ndo ukaja kuandika?maana umeandika ulivyo sikia sikia tu.

Mkuu sitaingia sana kwenye mada yako nzito ila nitashauri tu ujipe muda wa kusoma hata basics za theolojia kabla ya kujenga hoja yoyote ndani ya Biblia. Narudia tena bible is figurative yaani lugha ya mafumbo sio lateral kwamba wakisema chapa basi ni chapa kma wanayowekewa ng'ombe.

Mfano Bible ikisema huwezi UZA au KUNUNUA bila hiyo chapa!! Ila kuuza na kununua kibiblia ni kiroho zaidi sio kimwili jikumbushe.

Isaya 55:1
1 Haya, kila aonaye kiu, njoni majini,Naye asiye na fedha; njoni, nunueni mle;Naam, njoni, nunueni divai na maziwa,Bila fedha na bila thamani.

Isaya anaita watu wasio na pesa wanunue chakula!! mtu bila Pesa utawezaje kununua chakula na maji ?? Simply ina maanisha ni FUMBO!! Na ukisoma Agano jipya Yesu pia alirudia hii statement.

Nachomaanisha hapa ni kwamba Bible imejaa mafumbo hivyo usiitafsiri kama ilivyo maana ukisema 666 ni chata kama Bar Code je utaelezeaje mwanamke wa Ufunuo ambaye Atalivaa JUA kma nguo na atatembelea MWEZI kwenye mguu..... Ama Mvinyo wa babeli wa Ufunuo 18 ambao dunia nzima umekunywa je ina maana wote tumewahi kunywa mvinyo!!! Ila mbona bible inasema DUNIA nzima imekunywa!!!

Kukusaidia tu 666 imeongelewa mara mbili tu kwenye Bible kwenye ufunuo na kwenye utawala wa mfalme suleiman..... Ukielewa kisa cha mfalme suleiman kuhusu namba 666 ndio utaweza connect dots na ufunuo na Biblia ndio ipo hivo ili uelewe mstari mmoja ni lazima usome mwingine.

Mfano ufunuo 12 unasema lile Joka lina mkia utakaoangusha nyota..... Sasa ukiconnect dots utagundua nyota 7 zimeelezewa tokea Ufunuo 1:20 na Mkia umelezewa Isaya 9:15 kuwa ni Nabii wa uongo so mpaka hapo hakuna JOKA kama JOKA wa kimwili!!! Ila lilikuwa fumbo tu.

Na sio mimi nayesema biblia ni lugha ya mafumbo bali ni Mungu mwenyewe someni Zaburi 78:2 hivyo ni muhimu sana tuelewe lugha ya mafumbo ndio tutaweza elewa biblia hasa ufunuo.

Shukrani
 
Mkuu kwanini Mungu aifanye biblia iwe ya kimafumbo mafumbo , wakati anajua uwezo wa kufikiri unatofautiana?
 
Kuna movie inaitwa what happen to Monday kaiangalie ndo utanielewa nilichoandika,
 
Mkuu kwanini Mungu aifanye biblia iwe ya kimafumbo mafumbo , wakati anajua uwezo wa kufikiri unatofautiana?
Mungu yupi huyo aliyetoa maagizo kimafumbo mkuu...??

Watu walioelewa maana kaamili ndo waligeuza na kuyaachia maandiko katika mfumo mgumu kwa manufaaa flani...

The codes inside signify something trending...

Matokeo ya huo mfumo wa kutoeleweka kwa wengi ndo matokeo ya wewe kuandika hapa JF na mimi kuandika hapa katika mawazi tofauti...

Huu ulimwengu umejaa codes nyingi sana na wengi tutakufa bila kujua maana kamili na hatujui effects za kufa bila kujua real meaning ya code zile...

Story zote za kwenye biblia ni story za kusadikika but zimejaaa 100% codes of reality with their meanings hidden..namanisha kuwa hizo story unazosikia mara nikamwona joka sijui kafanya nini...sio kwamba kuna joka kweli but kuna kitu kinajaribu kuelezewa kwa mfumo flani......only codes to reveal the truth...

Mnaokaa na kukesha kulaumu eti kwanini mungu aliweka maandishi katika mafumbo sio Mungu but early people who discovered the truth behind nature governing existance ndo waliamua kufanya hivo...

Ukikaa ukajua maana kamili ya maneno yale na jinsi ukweli unavyofanya kazi hutakaa kulaumu kuwa kwanini code zimetawala...

Naunga mkono kwa 100% juu ya uwepo wa codes katika maisha specifically human nature with it's surviving ability...bila hivyo mambo yasingekuwa hivi...

Early people had a real meaning to make so....kila nafsi ipate kushuhudia ukweli katika ile self conscious ability ya mtu husika bila kudanganywa....

The matrix reality is very conspicous kwa mwelevu but it is very ambiguos kwa asiyejua chochote...

Life is about surviving within the matrix of simulation.....
its about unlocking codes of reality....

We survive under layers of understanding.....

If the reality could be exposed to every one ,hopeful the universe could collapse ....

We are balanced because of Knowlege and Ignorance ....

The two keep human and other species at balance...

Sent using Nokia 8 Plus
 
Biblia ni kitabu cha kusadikika , hili sibishi wala sikubali, ndio maana nawauliza wanaoiamini wanadai biblia iko kimafumbo sana ndio nikataka kujua kwanini waandishi wa biblia ambao mnadai waliandika kwa kuongozwa na roho mtakatifu , waandike mafumbo wakati watu wanapaswa wajifunze kwa urahisi ili wamjue huyo Mungu ?
 
Mkuu kwanini Mungu aifanye biblia iwe ya kimafumbo mafumbo , wakati anajua uwezo wa kufikiri unatofautiana?
Mathayo 13:11
10 Wakaja wanafunzi, wakamwambia, Kwa nini wasema nao kwa mifano?
11 Akajibu, akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, bali wao hawakujaliwa.

Marko 4:10-12
10 Naye alipokuwa peke yake, wale watu waliomzunguka, na wale Thenashara, walimwuliza habari za ile mifano.
11 Akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuijua siri ya ufalme wa Mungu, bali kwa wale walio nje yote hufanywa kwa mifano,
12 ili wakitazama watazame, wasione;Na wakisikia wasikie, wasielewe

Kwa mstari huu Mungu alitumia mafumbo kwenye Biblia ili kuficha siri za ufalme wa mbinguni. kwahiyo watakaojua hizi siri ni wale tu ambao watakuwa wanasoma maandiko aliotoa yeye na sio watu baki tu (wasio tumia Biblia). Maana ili uelewe fumbo inatakiwa ujue mistari kadhaa ili uunganishe dots kupata maana halisi.

Lakini Mungu aliahidi hili

Yohana 16:25
25 Hayo nimesema nanyi kwa mithali; saa yaja ambapo sitasema nanyi tena kwa mithali, lakini nitawapa waziwazi habari ya Baba

Aliahidi haya alipokuwa anawaeleza unabii kuwa atamtuma Roho wa kweli/mtakatifu hivyo kwa wote ambao watakuwa na Roho mtakatifu wataweza kuyaelewa mafundisho yote ya Biblia maana Roho mtakatifu anajua kila kitu mpaka mafumbo magumu ya YAHWEH (of course kwa nadharia ya utatu mtakatifu ni Mungu yuleyule)

1 korinto 2:10
10 Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu

Kwahiyo kama Roho Mtakatifu anajua mafumbo haya.... Naweza sema Mungu alificha maandiko kwa mafumbo ili aweze kuwafunulia wale tu ambao watakuwa wafuasi wake yaani waliojazwa Roho mtakatifu

Kama ambavyo hata TISS/Jeshi lazima wana lugha zao za kijasusi ambazo raia unaweza usielewe ila wao wanaelewa so principle hyo hyo Mungu katumia ili siri zake zibaki kwa wafuasi wake tu.

Hayo ndio maonu yangu

Cc mitale na midimu
 
Kwa maelezo yako kuna kikundi tu ndio kinaweza kusoma na kuelewa biblia kwa sababu hicho kikundi Mungu amekijaalia kuelewa , nakuuliza swali mimi ambaye sio katika sehemu ya kikundi hicho nikiisoma biblia naweza kuielewa au siwezi kuielewa ?
 
Huwezi mkuu ni kikundi cha watu wachache pekee ndio wana ''access'' sie wengine tunakuwa tunaona maruweruwe tu kma mtoa mada
 
Sawa mkuu ,Mungu mwenye ubaguzi mimi anifai
Hapana mkuu kwa mujibu wa maandiko yake yaani Biblia; Mungu hana ubaguzi kabisa ila anachotaka umfuate ndio akupe hizo siri zake.
Yeremia 33:3
3 Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua.

Ni sawa useme Jeshi au TISS ni wabaguzi eti kisa hawakufundishi code zao za jeshini ama useme zitto junior ni mchoyo kisa kakunyima password ya ATM card.... Bali ukiitaka huna budi kuwa rafiki yangu, nikuamini alafu ndio ntakupa password yangu mkuu.

So don't mijudge it mkuu
 
Back
Top Bottom