Dhumuni la chapa "666"

Dhumuni la chapa "666"

Kawapendelea wapi?? Kibiblia mbona neema ipo kwa watu wote. Hapo mwanzoni according to bible dunia nzima ilikuwa inamuabudu Mungu rejea Adam na Noah.... Ila baada ya Kuja Nimrod dini za kipagan zikasambaa dunia nzima na wote wakamuacha Mungu alibakia tu Shem na kizazi chake ambako ndio Abraham alitokea.

Hivyo kwa kuwa Abraham alikuwa mwaminifu kwa huyo Mungu yaani YAHWEH ndio akaamua kuweka naye mkataba huu

Mwanzo 12:1-3
1 BWANA akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha;
2 nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka;
3 nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.

Kwahiyo Israel ilikuwa great sio sababu ya kupendelewa bali sababu ya kurithi baraka za Abraham.

Lakini hio ilikuwa agano la kale kwa sasa dunia nzima wamekua wana wa Abraham as long as wanafuata imani ya Mungu wa Abraham yaani YAHWEH

Galatia 3
29 Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu, na warithi sawasawa na ahadi.

Kwa maelezo zaidi soma huu uzi wangu utapata mbili tatu kuwa Israel haipendelewi bali wote tupo sawa na hta kuwazidi kwa mbali sana kwenye macho ya MUNGU.

Mkuu hiyo nchi alioonyeshwa mwanzo ilikuwa na wenyewe, huku Mungu akijua wazi pale kuna wenyewe lakini bado aliendelea kumpa Israel ile nchi, huku ni nini kama sio kuasisi migogoro ? kwanini asitafute nchi isiyo na watu akawapa hawa Israel ? Ni upendeleo tu ndio maana hakujalii wale wenyeji wataishi vip , tena alijua wazi kuchukua kitu cha mtu kwa maneno haiwezekani akaamua kuwapa AMRI kuua wenyeji wote wa ile nchi , kuchukua maeneo ya mtu haijawai kuwa neema huo ni uporaji kwa kigezo cha Mungu wao hao waisrael
 
Kwanini Mungu anafahamu jambo hilo la huo utawala utakao tokea baadaye ambao utasimama kinyume cha mamlaka yake lakini anaacha utokee wakati madhara yake anayafahamu kabisaaa ?
Mungu ameumba kiumbe mwenye fikra huru za kuchagua nini afanye na nini asifanye. anaweza kuchagua kuwa mwovu au kuwa mwema.
anaweza kuchagua kuwa mwovu wa kuua mtu mmoja au mwovu kuua watu mamilioni kama hitler. Mungu akimzuia mtu asichague alichoamua atakuwa amamenyang'anya ubinadamu wake na kumfanya kuwa kama mnyama asiye na utashi.

Kikubwa ni kututaadhalisha na kumtaadhalisha hata mtu huyo mbaya kuwa mwisho wa yote atavuna anachopanda. Na hata hawa unaodhani wangekomeshwa habari za kukoma kwao nazo Mungu ameziandika na wao wanajua mwisho wao wakiendelea kuasi mamlaka ya Uungu kwa kugeuka vibaraka vya Ibirisi.
 
" Mungu ameumba kiumbe chenye fikra huru , za kuchagua nini afanye na nini asifanye " mwisho wa kunukuu , uhuru wa fikra huko wapi mkuu wakati kabla ujachagua lipi utafanya , Mungu ameshajua kitamboooo nini utafanya, kiufupi wakati wewe unataka kufanya ,Mungu ameshajua matokeo yake kabla ujafanya sasa fikra huru iko wapi ?
 
Sifa ya Mungu ni Omniscience (anajua Yote). sasa kujua yote hakuna uhusiano na mfanyaji kufanya au asifanye.
anajua unaweza kuwa Muovu au wema, ila kujua kwake hakuchagulii wala hakupangii.
Tofautisha kujua yote na uchaguzi wa mtu binafsi wa Mtu.
 
Swali: kabla ujazaliwa Mungu anajua matendo yako yote utakayo yafanya au hajui ?
 
nimejibu hapo juu. Mungu ni Omniscience.
Yeye kujua na wewe kufanya kwa uchaguzi wako ni mambo mawili yasiyohusiana.
Mkuu huoni unachekesha
1. Mungu anajua kila kitu utakachofanya kabla ujazaliwa

2 . Wewe ujui kitu ndio maana unaangaika kufanya mema sijui kuacha mabaya , kiufupi Mungu kwake ni RECORDED wewe bwana Mitale unaona ni LIVE , sasa ndio nashangaa fikra huru ulizonazo wewe wakati matokeo ya mechi Mungu anayo kabla mechi yenyewe kuanza
 
Back
Top Bottom