Miaka ya karibuni kumekua na ukuaji wa cashless technology, na kuna nchi za Scandinavia ziko katika mpango wa kuondoa ela zote katika jamii zao japokua bado hawajafanikiwa Kwa 100%.
Na ukuaji wa application ya blockchain-bitcoin ni dhahiri miaka ijayo tutakua na jamii isiyotumia ela kabisa, japokuwa inatakiwa ifanyiwe ubunifu mkubwa. Cashless society itamrahishishia mwenye chapa ya 666 kutawala dunian atatawalaje sasa ilo ndo swali
Mfano recently tumeona hata watu wachache matajiri wana miliki utajiri Mkubwa huku watu walio wengi wakiishi Kwa kuunga unga, mfano uchumi wa marekan unashikiliwa na 1% ya watu. Kiuchumi ni kitu kibaya lakin hata kiroho ni hatari sana Kwa watu wachache kuwa na nguvu za kupindikia, Kwa hy watatokea kikundi cha watu wachache wenye utajiri mkubwa sana wataanzisha chapa ya 666.
Chapa ya 666 itachukua nguvu yote ya fedha na kuiweka sehemu moja, sote tunajua mwenye ela ndo mwenye nguvu hata marekani INA nguvu Kwa sababu GDO yao ni kubwa na sio majeshi, Kwa sababu mwenye ela ndo anayesikilizwa hata kwenye familia ukiwa na Mdogo nwenye ela yeye atashikilizwa kuliko wenzake "hekima ya masikin haisikilizwi"
Baadhi ya nguvu ya fedha, ni manunuzi, ulinzi, hizo in baadhi tu, Kwa hy 666 itachukua nguvu zote za fedha na kuiweka kwenye hii chapa, Kwa hy hakuna chochote utakachonunua bila ya kuwa na hii chapa.
Na ili chapa ya 666 ifanye kazi lazima kuwe na maendeleo ya science na technology kama bitcoin ya hali ya juu ili kuondoa matumizi ya pesa kwanza ili kuwe na cashless technology, Kwa sahiv haiwez kufanya kazi Kwa sababu hatuja fikia level ya science na teknolojia ya kiwango cha juu itakayoiwezesha kufanya kazi.