Dhumuni kuu la NASA kutuma keppler telescope Kwenye Anga ni lipi hasa?

Senator jr

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
367
495
Wakuu Habari ya uzima!

Nimejaribu kugoole kuhusu keppler telescope lakini sijaelewa

Kwa mwenye ufahamu zaidi naomba anijuze..

1469012940309.jpg
 
Propaganda za kupiga pesa!

Swali la kizushi, hiyo picha hapo ni ya kifaa chenyewe (halisi?) au ni cartoon/graphics za kubumba? Ukijibu hili basi utaelewa wanamaana gani.
MKUU MBNA KUNA HADI VIDEO YOUTUBE WE SEARCH KEPPLER TELESCOPE UTAONA
 
Propaganda za kupiga pesa!

Swali la kizushi, hiyo picha hapo ni ya kifaa chenyewe (halisi?) au ni cartoon/graphics za kubumba? Ukijibu hili basi utaelewa wanamaana gani.
Acha kujibu vitu kwa mazoea na chuki za kipumbavu,Yaani unauliza kama hiyo picha ni halisi ili iweje?..kwa hiyo kama siyo halisi ndio ina maanisha hiyo keppler telescope haipo?..Embu ingia kwenye website ya NASA usome uelewe,sio kujibu kijinga..Dunia ya leo yenye kila aina ya source za information utamdanganya mtu ili iweje espercially mtu kama wewe NASA watapoteza muda wao kukudanganya ili wapate nini hasa?...
 
Mbona mkali na povu kama omo,
Huu mchezo hautaki hasira ,hoja hupingwa kwa hoja na si povu kama hili unalomwaga hapa.
 
Sijakulazimisha kuamini nilichoandika!
kuwa na positive mind kijana..mbn hizo critics hatujazickia kutoka kwe mashirika ya anga ya nchi zilizoendelea kwe field hiyo km russia na japan...au mwenzetu source zako ni zipi?
 
kama mchango wako unapotosha lazima usahihishwe si kwa manufaa yako bali kwa faida ya vizazi vijavyo kwa sababu wako watakaokuja kusoma michango hii hapo mbeleni ili wasipate kusoma visivyo sahihi lazima urekebishwe!!

Be positive Joh!!!!!!
 
So far,hakuna positive comments hata moja ,
Mm nadhani watu walitakiwa waonyeshe pessimism ya mtoa mada na si kutokwa mapovu.
Sasa hicho kizazi unachokitetea,kikisoma michango yote hii ndio kitakuwa kimefaidika na nn...!!??
Maana sijaona cha kujifunza hapa zaidi ya jazba na mapovu kama mawimbi ya bahari
 
ila chazo cha jazba ni majibu yako kwa sababu nia ya mtoa mada ilikuwa ni njema kwa ajili ya kuelimishana na si kukejeliana
 
Wakuu Habari ya uzima!

Nimejaribu kugoole kuhusu keppler telescope lakini sijaelewa

Kwa mwenye ufahamu zaidi naomba anijuze..

View attachment 368039
Kwa mujibu wa NASA wenyewe lengo kubwa la kepler telescope ama kepler spacecraft ni kufanya tafiti ili kujua sayari zingine ambazo zipo nje ya mfumo wetu wa jua lakini hizo sayari ni zile ambazo zinafanana na dunia yaani earth-like planet ambazo kuna uwezekano wa kusapoti maisha, mpaka sasa kwa taarifa zilizopo na za karibuni ni kwamba kuna sayari mbili ambazo kepler telescope imezipata kuwa huwenda ikasapoti maisha. lakini kuna sayari zaidi ya 100 inasemekana kuna uwezekano wa maisha kuwepo, umbali kutoka hapa duniani mpaka kwenye hizo sayari mbili zilizopatwa hivi karibuni ni 180 light years.
NASA's Kepler telescope just found two planets that could support life
 
Mkuu na ile planet 1V au Darwin planet iligunduliwa na keppler au ilikuwaje maana kama keppler telescope inasema umbali ni mbali sana. Swali ni ivi Do ever human made a spacecraft inayoweza kwenda umbali mkubwa as kepler telescope vip kuhusiana na ishu za kurefuel hiyo spacecraft.
Mkuu ivi inawezekana kweli there z life in onother planet naomba unieleweshe kwa mapana zaidi mkuu kwani bado na njaa ya kutaka kujua zaidi..
 
Hapana mkuu yaani hiyo Kepler sio kwamba imefika kwenye huo umbali, isipokuwa yenyewe inazunguka jua kwa siku 370 orbit yake iko mbali kidogo na ya dunia, halafu solar array zake zimeelekezwa zifocus kwenye jua ili kupata radiation ya kutosha, sasa kuhusu telescope yenyewe ni kwamba Ina megapixel kubwa na hata utumwaji wa data ulibidi ufanyiwe compression ili kupunguza ukubwa na iwe ya haraka, kipindi ikiizunguka jua ile telescope imekuwa ikielekezwa kwenye field of focus halafu yenyewe IPO very sensitive to wavelength, sasa NASA iliamua kuziignore zile nyota ambazo zinang'aa Sana kwa sababu zenyewe zinafanya urahisi wa kudetect beams ambazo zinatoka kwenye sayari zenye ukubwa Kama wa jupita hili halikuwa lengo, wao walikuwa wanataka sayari zenye uzito mdogo ambazo zipo kwenye habitable zone kutoka center ya galaxy tuliyopo. Uwezekano wa kuwepo maisha kwenye solar system yetu hii kwa sayari nyingi haupo isipokuwa mars na baadhi ya miezi katika Jupiter ndo maana wanaendelea na tafiti zinaendelea, na pia wanajaribu kuangalia hizo exoplanet, kwenye sayansi yote yanawezekana maisha ya kawapo ama yasiwepo nje ya dunia inategemea tu na majibu ya hizo observations na experiments kwa hiyo maswali hayo unayojiuliza ndio yanayofanya wenzetu waangaike na hayo matafiti. usiku kucha.
 
kama mchango wako unapotosha lazima usahihishwe si kwa manufaa yako bali kwa faida ya vizazi vijavyo kwa sababu wako watakaokuja kusoma michango hii hapo mbeleni ili wasipate kusoma visivyo sahihi lazima urekebishwe!!

Be positive Joh!!!!!!
...na kama anaona anachochangia ni kwa faida yake tu na si wanajukwaa, basi akae nacho kimya kimya.
 
Hapana mkuu yaani hiyo Kepler sio kwamba imefika kwenye huo umbali, isipokuwa yenyewe inazunguka jua kwa siku 370 orbit yake iko mbali kidogo na ya dunia, halafu solar array zake zimeelekezwa zifocus kwenye jua ili kupata radiation ya kutosha, sasa kuhusu telescope yenyewe ni kwamba Ina megapixel kubwa na hata utumwaji wa data ulibidi ufanyiwe compression ili kupunguza ukubwa na iwe ya haraka, kipindi ikiizunguka jua ile telescope imekuwa ikielekezwa kwenye field of focus halafu yenyewe IPO very sensitive to wavelength, sasa NASA iliamua kuziignore zile nyota ambazo zinang'aa Sana kwa sababu zenyewe zinafanya urahisi wa kudetect beams ambazo zinatoka kwenye sayari zenye ukubwa Kama wa jupita hili halikuwa lengo, wao walikuwa wanataka sayari zenye uzito mdogo ambazo zipo kwenye habitable zone kutoka center ya galaxy tuliyopo. Uwezekano wa kuwepo maisha kwenye solar system yetu hii kwa sayari nyingi haupo isipokuwa mars na baadhi ya miezi katika Jupiter ndo maana wanaendelea na tafiti zinaendelea, na pia wanajaribu kuangalia hizo exoplanet, kwenye sayansi yote yanawezekana maisha ya kawapo ama yasiwepo nje ya dunia inategemea tu na majibu ya hizo observations na experiments kwa hiyo maswali hayo unayojiuliza ndio yanayofanya wenzetu waangaike na hayo matafiti. usiku kucha.
Mkuu nimekuelewa kuhusu function mojawapo za kwleppler telescope ni kudetect exoplanetary from out of our galaxy ambazo zinasaport life swali langu kuhusu Darwin 4 naona hujanijibu alafu baada ya hapo naomba kuku uliza kuwa umbali wa light za star ni mkubwa sana je ili kubypass ili kuona frontal view katika kuzoom universe ni jinsi gani keppler ina work maana ni naamini ningumu sana kudetermine planets ambazo ziko very close to star naomba nieleweshe mkuu kwani kuna reserch moja nafanya ya kiofisi kuhusiana na extraterrestal life out there.
 
Acha kujibu vitu kwa mazoea na chuki za kipumbavu,Yaani unauliza kama hiyo picha ni halisi ili iweje?..kwa hiyo kama siyo halisi ndio ina maanisha hiyo keppler telescope haipo?..Embu ingia kwenye website ya NASA usome uelewe,sio kujibu kijinga..Dunia ya leo yenye kila aina ya source za information utamdanganya mtu ili iweje espercially mtu kama wewe NASA watapoteza muda wao kukudanganya ili wapate nini hasa?...
Mkuu usipasue kichwa kwa watu kama hawa. Bahati mbaya ndio wengi kwenye hii mitandao ya kijamii.
Kizazi cha ajabu kabisa hiki..hawataki kufikiri zaidi ya pua yao.
 
Back
Top Bottom