Dhumuni kuu la NASA kutuma keppler telescope Kwenye Anga ni lipi hasa?

Mkuu nimekuelewa kuhusu function mojawapo za kwleppler telescope ni kudetect exoplanetary from out of our galaxy ambazo zinasaport life swali langu kuhusu Darwin 4 naona hujanijibu alafu baada ya hapo naomba kuku uliza kuwa umbali wa light za star ni mkubwa sana je ili kubypass ili kuona frontal view katika kuzoom universe ni jinsi gani keppler ina work maana ni naamini ningumu sana kudetermine planets ambazo ziko very close to star naomba nieleweshe mkuu kwani kuna reserch moja nafanya ya kiofisi kuhusiana na extraterrestal life out there.
Kuhusu Darwin 4 sikufuatilia, lakini Kama ni moja ya hizo exoplanet hiyo basi hilo linawezekana kwa sababu mpaka sasa kuna sayari zaidi ya 1000 ambazo ni earth like.
Kuhusu telescope hiyo kuzidetect hizo sayari unapaswa uwelewe muundo wa hiyo Kepler yenyewe ilivyoundwa unaweza tafuta mwenyewe mi nitaeleza kwa jinsi ninavyoelewa kwa kifupi.
Kepler ina image sensor ambazo in pixels zake zinafikia 95m halafu kuna mirror inaitwa primary mirror ambayo imetengenezwa kwa glasi ambazo ni utra low expansion, sasa basi ili kuwa na sensitivity kubwa kuzigundua hizo sayari ni pale ambapo zinapita mbele ya hiyo nyota husika hivyo imewabidi ile primary mirror waivalishe kitu kinaitwa reflectance coating ili kuwa na uwezo mkubwa wa kusense hivyo kwa msaada wa ion assisted evaporation pia na surface optic Corp inakuwa ni rahisi kuweza kudetect hizo sayari. Basi mi sijaelewa unaposema kwamba ni ngumu kudetermine sayari zilizo karibu na nyota.
 
Kwa mujibu wa NASA wenyewe lengo kubwa la kepler telescope ama kepler spacecraft ni kufanya tafiti ili kujua sayari zingine ambazo zipo nje ya mfumo wetu wa jua lakini hizo sayari ni zile ambazo zinafanana na dunia yaani earth-like planet ambazo kuna uwezekano wa kusapoti maisha, mpaka sasa kwa taarifa zilizopo na za karibuni ni kwamba kuna sayari mbili ambazo kepler telescope imezipata kuwa huwenda ikasapoti maisha. lakini kuna sayari zaidi ya 100 inasemekana kuna uwezekano wa maisha kuwepo, umbali kutoka hapa duniani mpaka kwenye hizo sayari mbili zilizopatwa hivi karibuni ni 180 light years.
NASA's Kepler telescope just found two planets that could support life
Asante mkuu nilifanikiwa kimtindo!
 
Kwa hiyo uliishia njiani au bado unafuatilia?

Asante nimepata somo hapa ,ila nimefikiria kama watagundua Sayari nyingine zinazoruhusu viumbe kuweza kuishi nikafikiri umbali wa kuzifikia nikalinganisa na umri wa binadamu kuishi nikakwama..Hebu tusaidie pia ugunduzi wa Sayari hizi utaisaidiaje Dunia !.Au tutabaki na kumbukumbu tu au kwa namna ipi!..

Tusaidie Mkuu ,kwa uelewa wako...
 
Madhumuni yanaweza yakawa mengi moja wapo hata uwezekano wa kuishi huko lakini Kama ulivyosema kwa teknolojia ya sasa hakuna uwezekano wa kufanya safari za interstellar yaani kutoka solar system hii na kwenda nyingine maana hapo mars tu ambapo ni jirani mpaka sasa bado ni shughuli kupeleka watu. Kuna nadharia ya kutumia shortcut kufika kwenye galaxy nyingine kwa kutumia wormhole kuunganisha black holes za galaxy swala la ambalo liko na ugumu mno na linaweza hata lisiwezakabike. Kwa hiyo kwenye kufanya hizo tafiti wanaweza wakagundua vitu vingine zaidi ambavyo vina manufaa na dunia mfano tu ugunduzi wa hivi karibuni kulithibitisha uwepo wa gravitational waves na wakadai huko mbeleni wanaweza tumia hizi kwa ajili wa mawasiliano hasa anga za mbali.
 
Mkuu.nitangulize Shukrani kwa kujibu kwa wakati, asante sana.
 
Back
Top Bottom