Dhuluma inayofanyika Ndanda secondary haikubaliki

Status
Not open for further replies.
Hawa vijana hawanyimwi ruhusa ya kusali, wanachodai wanataka serikali iwanjengee msikiti hapo shuleni kwasababu wakristo wana kanisa tena kubwa, wanasahua kuwa kanisa hilo lilijengwa kabla shule hiyo haijataifishwa na serikali

Sio kuwa kanisa lilijengwa kabla shule haijataifishwa, bali Kanisa ndio lililojenga hiyo shule yenyewe. Na cha kushangaza, hamna hata mmoja wao anayetaka kufuatilia uhalisia wa haya mambo zaidi ya kuongelea kama matatizo ya ukewenza. Roho ya manung'uniko na kutopenda kufikiri inawajaa mpk wanashindwa kutambua kuwa wana wajibu wa kufanya mambo yao kwa taratibu zaidi ya kudai haki pasipo na majasho yao.
 
JF sio sehemu ya porojo ebu wataje majina yao...zaidi ya hapo utakuwa unaleta mipasho JF:A S-coffee:
 
11 Pia malaika wa BWANA akamwambia:
"Wewe sasa una mimba
nawe utamzaa mwana.
Utamwita jina lake Ishmaelia,
kwa sababu BWANA amesikia juu
ya huzuni yako.
12 Atakuwa punda mwitu katikati ya wanadamu, mkono wake utakuwa dhidi ya kila mtu na mkono wa kila mtu dhidi yake, naye ataishi kwa uhasama na ndugu zake wote.''

(Mwanzo 16:11-12)



 

Wakati wakristo wao huko Tanzania wanakwapua Bilioni 91 kila mwaka kutokana na MoU ya Serikali ya Muungano na Kanisa.

 
Hao wanafunzi waislamu wapewe haki yao maana wakatoliki wamezidi kutuonea sisi madhehebu madogo ya kikristo na hao waislamu.

Wewe ndio mgonjwa kabisa, tena very pathetic. Nyie wasabato shule zenu ndio kichefuchefu kabisa, ikifika j'mosi kila kitu chini, torati inafanya kazi yake, uwe msabato au siyo wote ni kuimba na kulala tu. Marufuku kujisomea
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…