Sasa mambo ya Hizbullah yanahusika vipi hapo?
Nwy inabidi tufahamu kwa nini wananyimwa kufanya ibada, pengine inaingiliana na ratiba ya shule/wanatumia sehemu ambayo hawajaruhusiwa. Ila swala la kukatazwa kuongelea dini nadhani mnaongeza chumvi, sidhani kama kuna mtu anaefuatilia maongezi binafsi ya wanafunzi hata kujua wanapoongelea dini.
Sasa mambo ya Hizbullah yanahusika vipi hapo?
Nwy inabidi tufahamu kwa nini wananyimwa kufanya ibada, pengine inaingiliana na ratiba ya shule/wanatumia sehemu ambayo hawajaruhusiwa. Ila swala la kukatazwa kuongelea dini nadhani mnaongeza chumvi, sidhani kama kuna mtu anaefuatilia maongezi binafsi ya wanafunzi hata kujua wanapoongelea dini.
Mimi huwa nashaangaa sana hawa ndugu zangu waislam. Tatizo ni nini mmekuwa watu wa kulalamika tuuuu. Mkapa kawapa chuo bureee mmeshindwa kukiendesha. Sisi tusio na dini tuwasaidie nini
wanasahau shule awali ilikuwa ya kanisa kabla Nyerere hajazipora na kuifanya ya UmmaHawa vijana hawanyimwi ruhusa ya kusali, wanachodai wanataka serikali iwanjengee msikiti hapo shuleni kwasababu wakristo wana kanisa tena kubwa, wanasahua kuwa kanisa hilo lilijengwa kabla shule hiyo haijataifishwa na serikali
timiza yaliyo ndani ya kitabu cha dini kwa kadri iwezekanavyo.subiri ifike ijumaa na madai hayajatekelezwa halafu utasema kama tunalalamika au tunachukua haki yetu.
ni takriban wiki nne sasa wanafunzi 63 wa kiislam wanaosoma shule ya secondary ya ndanda wamesimamishwa na wengine kupewa masharti magumu ili warudishwe ikiwa ni pamoja kutofanya ibada wakiwa eneo la shule, kutozungumzia jambo lolote linalohusu dini yao ilihali wenzao(wakiristo) wanafanya watakavyo ikiwa ni pamoja na kufanya mikesha ktk kanisa lililopo shuleni hapo. Rai yangu ni serikali kutoa fursa sawa ya kuabudu kwa dini zote pia kumchukulia hatua za ni dham mwalim mkuu wa ndanda secondary ambae anafanya ubaguzi na kejeli dhidi ya uislam. Boko haram Nigeria ilianza kama hivi. Tamsya(vijana wa kiislam Tanzania mashuleni na vyuoni) wametoa Tamko la mgomo na maandamano nchi nzima kulaani tukio la ndanda na kutaka wanafunzi waliosimamishwa kwa kuomba eneo la kufanyia ibada warejeshwe mara moja. Utakua mgogoro endelevu mpaka madi ya msingi yasikilizwe. Vibali vya mikusanyiko na maandamano vimeombwa nchi nzima kuanzia siku ya ijumaa iwapo madai yaliyoainishwa hayatatekelezwa mpaka siku ya alhamiisi. Waislam nchi nzima tuungane kwani Hizbullah ni lenye kushinda.
hakuna mtu mweusi hata mmoja mwenye guts za kujilipua...acheni kutishia hata hao boko haram hawajitoi mhanga,.dini imani sheikh kama unaamini allah wako ni muweza wa yote mwachieni yeye na haki itaonekana kama kweli mnaonewa.
Mungu yupi mwenye majeshi ya fujo? Au ni yule anayeandaa mabikra 72?shule ya ndanda ilikua chini ya kanisa na sasa imechukuliwa na serikali hivyo dini zote zinapaswa kupewa eneo na uhuru wa kuabudu. Hakuna vipindi vinavyoingiliana na muda wa ibada. Ndugu yangu tunazungumza uhakika. Wacha serikali ipuuze itakuja kuamua baada ya madhara kutokea. Hizbullah ni jeshi la mungu.
uislam hauko hivyo. Allah ameikamilisha dini na waislam tunapaswa kuilinda na kuisimamia hata ikibidi kufa.
Mkuu, nonaona uwezekano mkubwa wa kuwa umeandika haya kutokana na kusimiliwa tu yaliyotokea Ndanda Sekondari. Uliyoyaandika yana asilimia ndogo sana ya ukweli. Si kweli kuwa kuna mtu amezuiliwa kufanya ibada kwenye maeneo ya shule. Uliza kwa tunaolifahamu suala hili. Kwa taarifa yako, kila kundi la kidini lina chumba chake cha kuabudia shuleni. Wanachogombea waislamu ni kujengewa msikiti katika eneo la shule. Wanadai kwua kuna kanisa shuleni jambo ambalo si kweli kwa maana kanisa lipo nje ya mipaka ya shule (ingawa ni akribu na shule).ni takriban wiki nne sasa wanafunzi 63 wa kiislam wanaosoma shule ya secondary ya ndanda wamesimamishwa na wengine kupewa masharti magumu ili warudishwe ikiwa ni pamoja kutofanya ibada wakiwa eneo la shule, kutozungumzia jambo lolote linalohusu dini yao ilihali wenzao(wakiristo) wanafanya watakavyo ikiwa ni pamoja na kufanya mikesha ktk kanisa lililopo shuleni hapo. Rai yangu ni serikali kutoa fursa sawa ya kuabudu kwa dini zote pia kumchukulia hatua za ni dham mwalim mkuu wa ndanda secondary ambae anafanya ubaguzi na kejeli dhidi ya uislam. Boko haram Nigeria ilianza kama hivi. Tamsya(vijana wa kiislam Tanzania mashuleni na vyuoni) wametoa Tamko la mgomo na maandamano nchi nzima kulaani tukio la ndanda na kutaka wanafunzi waliosimamishwa kwa kuomba eneo la kufanyia ibada warejeshwe mara moja. Utakua mgogoro endelevu mpaka madi ya msingi yasikilizwe. Vibali vya mikusanyiko na maandamano vimeombwa nchi nzima kuanzia siku ya ijumaa iwapo madai yaliyoainishwa hayatatekelezwa mpaka siku ya alhamiisi. Waislam nchi nzima tuungane kwani Hizbullah ni lenye kushinda.
shule ya ndanda ilikua chini ya kanisa na sasa imechukuliwa na serikali hivyo dini zote zinapaswa kupewa eneo na uhuru wa kuabudu. Hakuna vipindi vinavyoingiliana na muda wa ibada. Ndugu yangu tunazungumza uhakika. Wacha serikali ipuuze itakuja kuamua baada ya madhara kutokea. Hizbullah ni jeshi la mungu.