DHL Tanzania badilikeni!

hippocratessocrates

JF-Expert Member
Jul 1, 2012
3,598
1,539
Habari wakuu.

Kuna suala ambalo nimekuwa nikili_experience hivi karibuni, na si peke yangu ila pamoja na baadhi ya wadau/watumiaji wa Courrier agency kama DHL...ofisi nyingi hasa Dar, na Mwanza.

Ucheleweshwaji wa parcels/packages na majibu mabaya ya watumishi/wafanyakazi wa agency hiyo. Ikumbukwe kwamba mtu anatumia gharama kubwa katika kusafirisha mzigoiki ufike kwa wakati/kabla ya wakati lakini inachukua takribani wiki nzima hadi wiki na nusu kwa mzigo kukabidhiwa kwa mpokeaji!

DHL badilikeni!
 
Yaani mkuu hawa watu ni washenzi sana me mwenyewe kuna contena langu la biashara za viatu na girls staffs nyingine limeagiziwa kutoka US wakaniomba waybeal nikawapa wakaitrace na kuthibitisha huwezi amini ni mwezi wapili sasa wananizungusha tu
Hawa watu hawafai ata kidogo
 
Habari wakuu.

Kuna suala ambalo nimekuwa nikili_experience hivi karibuni, na si peke yangu ila pamoja na baadhi ya wadau/watumiaji wa Courrier agency kama DHL...ofisi nyingi hasa Dar, na Mwanza.

Ucheleweshwaji wa parcels/packages na majibu mabaya ya watumishi/wafanyakazi wa agency hiyo. Ikumbukwe kwamba mtu anatumia gharama kubwa katika kusafirisha mzigoiki ufike kwa wakati/kabla ya wakati lakini inachukua takribani wiki nzima hadi wiki na nusu kwa mzigo kukabidhiwa kwa mpokeaji!

DHL badilikeni!

Najuta kuagizia mzigo kupitia DHL yaani hawafai ni zaidi ya Wapuuzi
 
Pole mkuu, najua jinsi inavyouma..nilituma mzigo zaidi ya mara mbili lakini delivery yake ikawa almost sawa na kutuma kitu kwa njia ya kawaida.

Tena sehemu yenyewe ni mjini tu...Pole sana, ila hawa jamaa inabidi wabadilike.
 
Habari wakuu.

Kuna suala ambalo nimekuwa nikili_experience hivi karibuni, na si peke yangu ila pamoja na baadhi ya wadau/watumiaji wa Courrier agency kama DHL...ofisi nyingi hasa Dar, na Mwanza.

Ucheleweshwaji wa parcels/packages na majibu mabaya ya watumishi/wafanyakazi wa agency hiyo. Ikumbukwe kwamba mtu anatumia gharama kubwa katika kusafirisha mzigoiki ufike kwa wakati/kabla ya wakati lakini inachukua takribani wiki nzima hadi wiki na nusu kwa mzigo kukabidhiwa kwa mpokeaji!

DHL badilikeni!

Hawa DHL Tanzania naona wamelewa monopoly. Mara 2 wameniambia niufuate mzigo wangu ofisini kwao badala ya kuuleta kama address ilivyoeekeza, na kuna siku niliwapigia mpokeaji akauliza iwapo nitalipa gharama za delivery? wapuuzi sana siju kama HQ wao wanayajua haya na akitokea mbadala tutawakimbia.
 
Mkuu HQ wanajua sana tu kuhusu hili, binafsi nimeshajaribu kuandika comments, kutoa complaints hapo hapo HQ lakini niliambiwa nifate mzigo wangu..tena nilijibiwa kwa dharau, nikaona isiwe shida since mzigo wa muhimu..ila wanachokifanya kinawashushia sana heshima na kujenga chuki.
 
Ni wapuuzi sana hawa DHL. Kuna kipindi walinizungusha sana na kuna wanawake/wasichana waongo sana. Inafikia mahali hata simu hawawezi kupokea!

Ila wasipokuwa makini watajifuta kwenye soko la Tz
 
Kuna jamaa yangu yamemkuta haya haya, Wajinga hawa jamaa yangu bado anadai kamzigo kake wiki ya pili hii wanamzingua, angali hii tracking! Wakati mwingine hata ofisi za serikali wana nafuu kuliko upuuzi huu.

attachment.php
 
Mkuu waambie warudishe mzigo Nairobi halafu mtumaji autie kwenye Dar Express Kesho kutwa mzigo umefika. Bila hivyo mzigo uta expire.
 
daaah, wakuu nashukuru kwa michango yenu lkn tayari mshanipasua kichwa! nimeagiza gari 2, 1 kwa kutumia BEFOWARD na ingine kwa kutumia ENHANCE-AUTO, wote hao wamenambia nisubiri DOCUMENTS kupitia DHL, sasa haya madongo ya leo, hata hamu sina!
 
Habari wakuu.

Kuna suala ambalo nimekuwa nikili_experience hivi karibuni, na si peke yangu ila pamoja na baadhi ya wadau/watumiaji wa Courrier agency kama DHL...ofisi nyingi hasa Dar, na Mwanza.

Ucheleweshwaji wa parcels/packages na majibu mabaya ya watumishi/wafanyakazi wa agency hiyo. Ikumbukwe kwamba mtu anatumia gharama kubwa katika kusafirisha mzigoiki ufike kwa wakati/kabla ya wakati lakini inachukua takribani wiki nzima hadi wiki na nusu kwa mzigo kukabidhiwa kwa mpokeaji!

DHL badilikeni!

cha kushangaza DHL nje ya TANZANIA Ni wzuri sana,inakuwaje tatizo liwe hapa Tanzania pekee? nafurahia sana huduma za EMS nje ya TANZANIA lakini ianpofika unataka kitu kiende Tanzania ndipo utakapo ona ubaya wa hizi delivery company,lakini kuna wakati niliwatumia DHL walikuwa hawana shida na mambo yao ni haraka haraka sana sielewi nini kimewakuta kwa sasa.
natamani sana kuona makampuni ya kichina kama YTO,YUNDA,ZTO,BEST,SFs zikipiga kambi Tanzania,labda tunaweza pata ushindani utakaowafanya wabadilike
 
Wakuu mi na mpango wa kuanzisha kampuni ya usafirishaji vifurushi kwa hpa hpa Tanzania yaan dar na mikoani naombeni mawazo yenu,!!
 
Mkuu, wiki tatu ziliyopita tena kuna mtu(jamaa) ametumia DHL TZ services, akachukua mzigo baada ya wiki mbili, hovyo si ajabu, na nakubaliana na wewe nje ya Tanzania huduma zao ni za kuaminika.
 
Wakuu mi na mpango wa kuanzisha kampuni ya usafirishaji vifurushi kwa hpa hpa Tanzania yaan dar na mikoani naombeni mawazo yenu,!!

Tafadhali anzisha tu, maana huu ubabaishaji ni wa muda sasa, na watu wanasahau maana ya wateja kutumia njia ya "haraka" kufikisha mizigo/bidhaa zao!

Nilikuwa na mzigo pale DHL lakini tumefuatilia mpaka tumeona bora tuuache wachukue wao. Je kuna wadau wengine mmekutana na usumbufu mkubwa namna hii pale DHL Dar?

Mkuu, hii imekuwa kawaida yao..pole.
 
Mkuu HQ wanajua sana tu kuhusu hili, binafsi nimeshajaribu kuandika comments, kutoa complaints hapo hapo HQ lakini niliambiwa nifate mzigo wangu..tena nilijibiwa kwa dharau, nikaona isiwe shida since mzigo wa muhimu..ila wanachokifanya kinawashushia sana heshima na kujenga chuki.

HQ ya wapi, hawa takataka wa Tanzania? hiyo siyo HQ ni waganga njaa tu! btw, mimi hawajaniudhi bado, ila nimejipanga kila siku nikisafirisha kitu chochote kupitia dhl nitakusanya evidence zote za usumbufu wa aina yoyote ile, na itakuwa ishu ndefu.
 
daaah, wakuu nashukuru kwa michango yenu lkn tayari mshanipasua kichwa! nimeagiza gari 2, 1 kwa kutumia BEFOWARD na ingine kwa kutumia ENHANCE-AUTO, wote hao wamenambia nisubiri DOCUMENTS kupitia DHL, sasa haya madongo ya leo, hata hamu sina!

hahaha, bahasha huwa hawazingui, watakupigia simu utachukua kirahisi tu.
 
kama ni kitu kutoka nje mjiiandae kusumbuliwa customs kama ni kitu kinachofakiwa kulipiwa tax.. kama hakilipiwi tax itachukua muda mfupi, mimi nmetumiwa vitu kutoka london mara kadhaa vilikua vinachukua siku tatu tu... muda mwingine labda hela ya huduma unayolipa ni standard sio express... kwa upande wa wafanyakazi sijui ila wafanyakazi wengi tu ofisi kibao tanzania wajinga sana, wana kujidaidai kwingi utasema kampuni ya mama zao.. mi hua siwalei hua nawapa live...
 
Back
Top Bottom