Dhiki kuu inakuja nini cha kufanya?

Dhiki kuu inakuja nini cha kufanya?

1. Waliyooa na kuolewa HAWANYWI POMBE?
2. Waliyoa na kuolewa SIO MALAYA?
3. Kuna mwanamke ambaye hana mambo mengi?

Mwisho.
Hebu leta evidence kwamba Ubachela ni gharama kuliko ndoa.
Ukija na mifano utatisha zaidi.

#YNWA
kipindi sijaoa bajeti yangu ilikuwa sana ya mahitaji ya geto.
baada ya kuoa ilipungua sana kwa sasa imeongezeka baada ya kuwa na familia

mfano nikiwa mwenywe nilikuwa nanunua samaki sato wa8000 supu tu hadi usiku nilikuwa natumia 17000 kwa siku
nilipo oa nikawa natumia 4000-6000 tu kwa siku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom