SALM MAHAMUD
Member
- May 21, 2013
- 14
- 4
[h=5]BABA WA TAIFA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE ANASEMA KATIKA KITABU CHAKE CHA" TUJISAHIHISHE"UKWELI UNA TABIA MOJA NZURI SANA,HAUJALI MKUBWA WALA MDOGO,HAUJALI ADUI WALA RAFIKI,KWAKE WATU WOTE NI SAWA,PIA UKWELI UNA TABIA YA KUJILIPIZA KISASI KAMA UKIPUUZWA.UKIONA NATAKA KULIPIGA TEKE JIWE KWA KUWA NAFIKIRI NI DONGO AU MPIRA,NATUMAINI UTANIONYA,LAKINI NIKILIPUUZA ONYO LAKO KWA SABABU ETI WEWE NI MDOGO AU KWA SABABU SIKUPENDI ,NIKALIPIGA TEKE,BASI LITANIVUNJA DOLE JAPO NINGEKUWA NANI.UKWELI HAUPENDI KUPUUZWAPUUZWA....
Baada ya Kushindwa tu Dk Slaa alitangaza na CD zipo nchi hii haitatawalika na sasa tunaona Tanzania inakoelekea..kama Serikali mtaendelea kuwachekea CHADEMA Tanzania itakumbana na Mauaji ya Kimbari..Kama nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba Sheria mama kwa nini mnawachekea Chadema? tumieni sheria kuwaadhibu,tumechoka na kuwachekea na kuwabembeleza utadhani wao ndio wenye dola bana.
Ndugu watanzania naomba nitumie fursa hii kuwaeleza ukweli wale wachache wanaokiunga mkono CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwamba waweze kutoka huko,huko kuna magaidi,huko kuna ukabila,huko kuna udini,huko kuna kuligawa taifa vipande vipande maana sera zao zimejikita kwenye majimboism nk,hawa ni watu hatari sana,tazameni wanavyofadhili matukio ya kigaidi huko Arusha,wanamwaga damu za watu wasio na hatia kwa manufaa yao binafsi.kwa uelewa wao mfupi wanadhani matukio kama haya ya ugaidi yanaweza kuifanya serikali iliyoko madarakani kushindwa kutawala ili wao waweze kufanikisha mambo yao. nasema imefika wakati muafaka Watanzania wajenge uasi dhidi ya hawa wanasiasa uchwara,wawakatae waziwazi tena mchana kweupe kwani ni hatari taifa letu kupoteza amani na mshikamano kwa sababu ya kundi la watu wachache wasio na nia njema....,MUNGU IBARIKI AFRIKA.MUNGU IBARIKI TANZANIA...AHSANTENI[/h]