Dhihaka:Ati hiki ni choo cha wanafunzi

Mzee Rugemalila;
Uwakumbuke na hawa wengine ambao madame Tiba aliwasahau. Tubilioni tumoja hutafirisikaaa. Na hao wangepiga kelele usilipe VAT. Pia mazingira naona ka kule Bariadi vile. Mzee Vijisenti kale ka juu ya kabilioni, tupia hukoo. Mbona hao watoto wangekuombea maisha marefu
 
Wanaishi kwenye ulimwengu kabisa, kwao picha kama hizi ni mambo ya kufirika tuu...!!!!
 
Back
Top Bottom