Dhihaka:Ati hiki ni choo cha wanafunzi

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,131
2,000
ukitaka kukata gogo hapo lazima uwe na mshikaji wa kukupigia chabo...
 

HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
28,284
2,000
Mbunge wa huko awajibikie gharaka iwezekanavyo.

Wadogo wanaweza dumbukia chooni, hapo sakafuni sipaamini panaweza didimia muda wowote
 

MANI

Platinum Member
Feb 22, 2010
7,289
2,000
Nchi yenye rasilimali kibao mpaka watu wanagawana billions lakini vyoo vya shule tunashindwa kujenga kwa kweli hii serekali ipumzike hakuna mahali imeweza.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom