inspekta abinho
Member
- Aug 2, 2014
- 43
- 7
Yani mtu unamdai halafu unamkuta kanenepea kama mbuzi aendae machinjioni. Daah hizo ni dharau kwa kweli
Yani mtu unamdai halafu unamkuta kanenepea kama mbuzi aendae machinjioni. Daah hizo ni dharau kwa kweli
Dharau inakuwaje hapo , unene mmwingine ugonjwa
Kwani unene unaletwa na pesa za kukopesha?!
Unamkuta mwingine anatumia zile pesa ambazo anadaiwa kuendelea kula starehe wakati wewe unasota ndo ninachomaanisha
Na kwanini ukopeshe wenzio na wewe Usote? Umbulula au Elimu duni?!