Dharau uliyoonesha Makonda ni ya kiwango cha PhD

kamanda mbigi

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2017
Posts
1,241
Reaction score
1,546
Ni wiki kadhaa nyuma RC wa Dsm alikataa kuitikia wito wa bunge la Tanzania kumtaka afike dodoma kuhojiwa, siku kadhaa hapa nyuma pia kakataa kupokea wito wa mahakama......lakini leo hii kakubali wito wa Clouds Fm tena kwa njia ya simu tu na wala sio barua hili kesho aende kujibu tuhuma zinazomkabiri.

Nadhani hiyo nguvu kubwa iliyopo nyuma ya makonda inatakiwa kujitafakali upya kuwa hii nchi ni ya kidemokrasia na mihimili yote inatakiwa kuheshimiana kwa kuwa hakuna aliyejuu ya mwingine.
 
Huyu dogo angeweza kuwa RC bora kuwahi kutokea but soon atapotezwa
 
Ni wiki kadhaa nyuma RC wa Dsm alikataa kuitikia wito wa bunge la Tanzania kumtaka afike dodoma kuhojiwa, siku kadhaa hapa nyuma pia kakataa kupokea wito wa mahakama......lakini leo hii kakubali wito wa Clouds Fm tena kwa njia ya simu tu na wala sio barua hili kesho aende kujibu tuhuma zinazomkabiri.

Nadhani hiyo nguvu kubwa iliyopo nyuma ya makonda inatakiwa kujitafakali upya kuwa hii nchi ni ya kidemokrasia na mihimili yote inatakiwa kuheshimiana kwa kuwa hakuna aliyejuu ya mwingine.
Hakuitwa hata coz hakupelekewa notisi ya kuitwa na bunge likawa dismised bt wanatarajia kumwta bunge likianza kaz so dharau ipi hapo unayombatiza hahaha
 
Ni wiki kadhaa nyuma RC wa Dsm alikataa kuitikia wito wa bunge la Tanzania kumtaka afike dodoma kuhojiwa, siku kadhaa hapa nyuma pia kakataa kupokea wito wa mahakama......lakini leo hii kakubali wito wa Clouds Fm tena kwa njia ya simu tu na wala sio barua hili kesho aende kujibu tuhuma zinazomkabiri.

Nadhani hiyo nguvu kubwa iliyopo nyuma ya makonda inatakiwa kujitafakali upya kuwa hii nchi ni ya kidemokrasia na mihimili yote inatakiwa kuheshimiana kwa kuwa hakuna aliyejuu ya mwingine.
Nadhani aitwe kwa official letter pia kama inawezekana wampe deadline kwa hili na serikali isimamie kila harufu ili kusiwe na double stands katika maamuzi Yake.
 
Ni wiki kadhaa nyuma RC wa Dsm alikataa kuitikia wito wa bunge la Tanzania kumtaka afike dodoma kuhojiwa, siku kadhaa hapa nyuma pia kakataa kupokea wito wa mahakama......lakini leo hii kakubali wito wa Clouds Fm tena kwa njia ya simu tu na wala sio barua hili kesho aende kujibu tuhuma zinazomkabiri.

Nadhani hiyo nguvu kubwa iliyopo nyuma ya makonda inatakiwa kujitafakali upya kuwa hii nchi ni ya kidemokrasia na mihimili yote inatakiwa kuheshimiana kwa kuwa hakuna aliyejuu ya mwingine.

= zinazomkabili
= kujitafakari

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Tumtetee RC Makonda dhidi ya watu wanaomsingizia mambo.
Hasa katika vita ya dawa za kulevya na Cheti chake cha form four.🙂
 
DAUDI BASHITE.... MAKONDA hakiki vyeti vyako uliiba vya wenzio kaka Mungu anakuona ujue ni aibuu
 
Back
Top Bottom