kamanda mbigi
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 1,241
- 1,546
Ni wiki kadhaa nyuma RC wa Dsm alikataa kuitikia wito wa bunge la Tanzania kumtaka afike dodoma kuhojiwa, siku kadhaa hapa nyuma pia kakataa kupokea wito wa mahakama......lakini leo hii kakubali wito wa Clouds Fm tena kwa njia ya simu tu na wala sio barua hili kesho aende kujibu tuhuma zinazomkabiri.
Nadhani hiyo nguvu kubwa iliyopo nyuma ya makonda inatakiwa kujitafakali upya kuwa hii nchi ni ya kidemokrasia na mihimili yote inatakiwa kuheshimiana kwa kuwa hakuna aliyejuu ya mwingine.
Nadhani hiyo nguvu kubwa iliyopo nyuma ya makonda inatakiwa kujitafakali upya kuwa hii nchi ni ya kidemokrasia na mihimili yote inatakiwa kuheshimiana kwa kuwa hakuna aliyejuu ya mwingine.