Dharau mbaya

O.P
 
Kale mzigo kwanza ndo ulete story, ukishindwa kula ndo jamaa atakudharau maradufu
Mkuu ndio nilicho fanya hapa maana naona wananiandama kwa kuandika wakati tupo wengi humu ndani nataka nitupie kavideo hapa nitaruhusiwa kweli au nitapata ban
 
Pimbi mkubwa,unadhani kusoma chuo ni kama kuingia chooni!
 
I see kama ndio hawa wasomi wetu wa vyuo kama huyu mleta mada,kweli tumekwisha. Nimeamini elimu yetu imeshuka kwa kiwango kikubwa kwa uandishi huo kweli? Bibi fox hebu pitia huu uzi. HAKAJA =AKAJA. HAKAJUMUIKA=AKAJUMUIKA. Duuuh...
 
hongera sana mwanachuo ila jifunze matumizi ya "h" haistahili kuwepo kwenye baadhi ya maneno.
Ahsante sana kwa kuquote uzi, lasivyo nisingeuona maana kashafuta na kuweka maneno machache
 
Mkuu ndio nilicho fanya hapa maana naona wananiandama kwa kuandika wakati tupo wengi humu ndani nataka nitupie kavideo hapa nitaruhusiwa kweli au nitapata ban
Nenda katupie jukwaa letu pendwa la wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…