Dharau kwa waafrika

Dharau kwa waafrika

The Don

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,499
Reaction score
1,172
Ukiwa abroad sehemu za kuvukia barabara kwa miguu wanaziita pedestrian cross,huku bongo wameziita zebra cross,hii ni dharau tosha wanatufananisha na wanyama especially punda milia aaarggghh! Lazima tupinge huu ubaguzi
 
we hujui tofauti ni kuwa pedestrian crossing inasehemu ya kusimama katikati ya barabara alafu ndo unamalizia kuvuka upande wa pili. yaani lanes za barabara zimetengwanishwa. while zebra crossing unavyoanza kuvuka magari ya upande wa pili nayo lazima yasimame.
 
Umeeleza vizuri...
 
Duh, hiyo hata mie sikujua.
 
Back
Top Bottom