Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,095
- 122,455
Hahaaaaaa. Unaguna rafiki?Mngh!
Hahaaaaaa. Unaguna rafiki?Mngh!
hahaaaa ndio mana wanayo shida kwetu asee yani sasa ukute kazaa akikosana na baby daddy wake sie tunashushiwa hasiraa.......Hahaaaa dogo umenichekesha sana. Wanakuja kwenu kwasababu bado hamna uzoefu wa kuhandle issues, kwahiyo akikutikisa atatikisika. Sisi huku ni visiki vya mpingu, akija vibaya adunda
Poleni sana, sisi tunawajulia hawa.hahaaaa ndio mana wanayo shida kwetu asee yani sasa ukute kazaa akikosana na baby daddy wake sie tunashushiwa hasiraa.......
Nyie wavulana ndo muache kuwasumbua mnawapandisha hasira mpaka sisi wanaume tunapata kazi sana ya kuwabembeleza wakikimbilia kwetuWaambie waache kutusumbuaaa hao watu wenu
Je na wewe unatabia hii mkuu?Hahaaaaaa. Unaguna rafiki?
Ayaa kaka zetu pambaneni nao wakija humu stress zimeishaaa wakae kimyaaPoleni sana, sisi tunawajulia hawa.
Watulizeni vizuri sio wakija humu ni kutuponda vijana na si tukianza kufurumusha mabomu watakimbia humu!!Nyie wavulana ndo muache kuwasumbua mnawapandisha hasira mpaka sisi wanaume tunapata kazi sana ya kuwabembeleza wakikimbilia kwetu
Sasa shida ni kuwa tulishawatumia na saizi tunarudi kwa 23-28 yearsAyaa kaka zetu pambaneni nao wakija humu stress zimeishaaa wakae kimyaa
AhahahahaahaSasa shida ni kuwa tulishawatumia na saizi tunarudi kwa 23-28 years
Hapana aiseeee. Sijawahi vutiwa na vitoto mie.Je na wewe unatabia hii mkuu?
We furahi tu mchichaAaaaah. Yaliyomo yananifurahishaa humu
Hahaaaa. Lol.Nyie vijana ebu hao wanawake wa 30-45 mtuachie sisi wanaume tuonaojua kuwafikisha wanapotaka na kuwaondolea hasira(stress). Naomba msiwasumbue
Kumbe under 20Salama wakuu.....
Limeongezeka wimbi la wanawake wenye umri mkubwa kuanzia miaka 30-45 kutokuwa kwenye ndoa au mahusiano ya maana au kutokuwa na mtoto\watoto!!
Hali hii inapelekea hawa Dada zetu kuwa na mawazo na roho mbaya na kutojielewa...
Hasira zote zinatuishia sisi vijana under 25.....
Ivi sisi tumewakosea nini?? Kwanini msideal na wahenga wenzenu??
Sisi mtuache tupumue hatujakimbia mimba zenu wala kuwaharibia maisha.
Mnapokuja na thread zenu za hasira sisi mtuache bado vijana tunatafutaa mtuache kabisaa...
Hahaha najaaribu kuwaweka sawa hawa wavulana hapaHahaaaa. Lol.
Haya bana Swahiba
Hahaaaa. Bora uwaweke tu sawa kwa kweli.Hahaha najaaribu kuwaweka sawa hawa wavulana hapa
Kwema lakini swahiba?
Hahaaaa. Bora uwaweke tu sawa kwa kweli.
Niko poa mie Swahiba namshukuru Allah uzima upo nipo nazurura jf tu saa hii.
Hahaaaa. Sawa Swahiba.Wanasumbua sana hawa wavulana
Inshaallah nimefarijika kusikia yu mzima...endelea kupitia pitia
