Dhana ya umri na Wanawake

Dhana ya umri na Wanawake

Salamu wakuu.....

Limeongezeka wimbi la wanawake wenye umri mkubwa kuanzia miaka 30-45 kutokuwa kwenye ndoa au mahusiano ya maana au kutokuwa na mtoto\watoto!!

Hali hii inapelekea hawa Dada zetu kuwa na mawazo na roho mbaya na kutojielewa...

Hasira zote zinatuishia sisi vijana under 25.....
Ivi sisi tumewakosea nini?? Kwanini msideal na wahenga wenzenu??
Sisi mtuache tupumue hatujakimbia mimba zenu wala kuwaharibia maisha.

Mnapokuja na thread zenu za hasira sisi mtuache bado vijana tunatafutaa mtuache kabisaa...
Cc Kasie
 
watuache kabisa mkuu wapambane na kaka zetu wenyewe
Hahaaaa dogo umenichekesha sana. Wanakuja kwenu kwasababu bado hamna uzoefu wa kuhandle issues, kwahiyo akikutikisa atatikisika. Sisi huku ni visiki vya mpingu, akija vibaya adunda
 
Back
Top Bottom