mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,944
- 43,358
Sahihi kiongoziSalamu wakuu.....
Limeongezeka wimbi la wanawake wenye umri mkubwa kuanzia miaka 30-45 kutokuwa kwenye ndoa au mahusiano ya maana au kutokuwa na mtoto\watoto!!
Hali hii inapelekea hawa Dada zetu kuwa na mawazo na roho mbaya na kutojielewa...
Hasira zote zinatuishia sisi vijana under 25.....
Ivi sisi tumewakosea nini?? Kwanini msideal na wahenga wenzenu??
Sisi mtuache tupumue hatujakimbia mimba zenu wala kuwaharibia maisha.
Mnapokuja na thread zenu za hasira sisi mtuache bado vijana tunatafutaa mtuache kabisaa...
Aki vileeeeeSema hakyanani
Hahahaaaa
Kabisa mkuu hawa hizi hasira wanamalizia kwetu kama sie ndio tuliwaambia tutawaoa afu tukala chocho yani hawa....Sahihi kiongozi
Aseeeeee hatariAisee
Muwaache viben10 wamewashtukia siku hizi hamuwapi hela mnang'ang'ania shughuli yao tuAki vileeeee
Machuoni Na makazini wamejazana wengi!.Kabisa mkuu hawa hizi hasira wanamalizia kwetu kama sie ndio tuliwaambia tutawaoa afu tukala chocho yani hawa....
Acha kuniambia ujinga wako, unawaona humu au ndiyo unapotoshwa na posti hizi za mademu acha kufuata mkumbo kijana utapotea.Tunawaona humu aseeee sisi hatujakimbia mimba za watu ila hasira zote kwetu mnakuwaje aseee

Dah majina mnayotupa sasa.....!!!Muwaache viben10 wamewashtukia siku hizi hamuwapi hela mnang'ang'ania shughuli yao tu
Hahhaaaaa
HahahaMuwaache viben10 wamewashtukia siku hizi hamuwapi hela mnang'ang'ania shughuli yao tu
Hahhaaaaa
Ona mlivokuja kuwa na hisia Kali Kali ahahaahaha yani umri ukienda na hasira hizo zinapanda..Acha kuniambia ujinga wako, unawaona humu au ndiyo unapotoshwa na posti hizi za mademu acha kufuata mkumbo kijana utapotea.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Huko STDs nje njeMachuoni Na makazini wamejazana wengi!.
Hata ukiwatongoza ki masihara wanachukulia kweli
Vijana mna kazi kweli kweli hasa wa kizazi hikiDah majina mnayotupa sasa.....!!!
EhehhhehehheheDu, weka heshima kwa mama zako...
Nakuchana laivu kijana, Jf itumie kwa akili usifuate akili za wana memba wengine humu.Ona mlivokuja kuwa na hisia Kali Kali ahahaahaha yani umri ukienda na hasira hizo zinapanda..
Usinitishe aseee

Mmeacha majanga wakubwa zetu nyie mmeharibu wanakuja kwetu....Vijana mna kazi kweli kweli hasa wa kizazi hiki
Acha sifa za kijingaa jamaa angu!!!Nakuchana laivu kijana, Jf itumie kwa akili usifuate akili za wana memba wengine humu.![]()
Wewe ndiyo uache sifa uchwara za kufungua uzi wa kuponda Dada zako na Shangazi zako.Acha sifa za kijingaa jamaa angu!!!
