Mengine humwagwa kwenye mito inayotiririka mwaka mzima nahiyo mito ipo maelfu ya miaka iliyopita na hatujui itaacha kutiririka lini. Sasa nyumba ya milele ina kuwa wapi?Pale majivu yake yanapohifadhiwa ndio nyumba yao ya milele
Hapo yalipomwagiwa lakini hebu rudia kusoma tena kwa makini nilichoandika zingatia hapa....hasa miili iliyobahatika kuzikwa.....Mengine humwagwa kwenye mito inayotiririka mwaka mzima nahiyo mito ipo maelfu ya miaka iliyopita na hatujui itaacha kutiririka lini. Sasa nyumba ya milele ina kuwa wapi?
Tofauti ya nafsi,roho,utu na mwili ni ipiNafsi sio roho nafsi ni utu na ili utu ukamilike unahitaji vitu viwili roho na mwili
Mkuu hebu tupia mifano hai pasina shaka maana naona hayo mambo ya mauzauza ni huku kwetu africa tu.na je una uhakika gani kama makazi yetu tunayoishi hayajawahi kuwa makaburi au kufia watu na kuozea hapo na kuishia hapo kabisa.View attachment 521041hakuna kidumucho milele isipokuwa milele yenyewe
Kaburi linachukuliwa kama nyumba ya milele kwa wafu lakini uhai wa mwili mfu kaburini si zaidi ya miaka 20, labda ile kumetumika njia maalum za kuhifadhi mwili husika
Sehemu nyingi leo hii zilizokuwa makaburi zimebadilishwa matumizi na kufanyiwa uwekezaji mwingine japo huwa na matukio mbalimbali
Maana yake iko hivi, roho nyumba yake ni huu mwili uharibikao na baada ya roho kutengana na mwili, mwili husika huzikwa (kwa ile miili inayobahatika kuzikwa)...kiroho na katika dunia isiyoonekana pale kaburini ndio huwa pia makazi ya roho husika kwenye ule mwili unaoendelea kuoza na kuharibika kabisa
Kama palichaguliwa hapo kama makazi ya milele kuja kuparudia bila utaratibu ni kuingilia makazi ya wenyewe bila ruhusa....ndio maana sehemu kama hizo huwa na matukio mengi hasa vifo na ajali
Kilichowekwa pale ni mwili mfu lakini kuna roho isiyokufa ipo pale na ukitaka kupaingilia kuna taratibu maalum za ibada, kafara na matambiko hufanyika ili kuomba ruhusa ya roho husika zihame ili kuepusha madhara mbeleni....mkikosea kwenye hilo tarajieni mengi
Mwananyamala hospital imejengwa juu ya makaburi bila kufuata utaratibu
Nyumba ya milele ni sawa kwa kuwa ukishazikwa ndio habari yako imeishia pale kwamba huwezi kumaliza mda wako wa kuwa pale na ukahama pale,hata kama mwili utaisha kabisa na hata mifupa isiwepo lakini pale alipozikwa mtu ndio habari yake imeishia pale milele, tukiachana na habari za imaniView attachment 521041hakuna kidumucho milele isipokuwa milele yenyewe
Kaburi linachukuliwa kama nyumba ya milele kwa wafu lakini uhai wa mwili mfu kaburini si zaidi ya miaka 20, labda ile kumetumika njia maalum za kuhifadhi mwili husika
Sehemu nyingi leo hii zilizokuwa makaburi zimebadilishwa matumizi na kufanyiwa uwekezaji mwingine japo huwa na matukio mbalimbali
Maana yake iko hivi, roho nyumba yake ni huu mwili uharibikao na baada ya roho kutengana na mwili, mwili husika huzikwa (kwa ile miili inayobahatika kuzikwa)...kiroho na katika dunia isiyoonekana pale kaburini ndio huwa pia makazi ya roho husika kwenye ule mwili unaoendelea kuoza na kuharibika kabisa
Kama palichaguliwa hapo kama makazi ya milele kuja kuparudia bila utaratibu ni kuingilia makazi ya wenyewe bila ruhusa....ndio maana sehemu kama hizo huwa na matukio mengi hasa vifo na ajali
Kilichowekwa pale ni mwili mfu lakini kuna roho isiyokufa ipo pale na ukitaka kupaingilia kuna taratibu maalum za ibada, kafara na matambiko hufanyika ili kuomba ruhusa ya roho husika zihame ili kuepusha madhara mbeleni....mkikosea kwenye hilo tarajieni mengi
Mwananyamala hospital imejengwa juu ya makaburi bila kufuata utaratibu
Hakuna roho ya nyama bali kuna moyo ambao ni sehemu ya mwili.... Roho huwa haifi milele ndio maana tunaambiwa kifo sio mchakato bali ni chanzo....death is a state not a processMkuu Jr hapa unazungumzia roho ip Hii hii ya nyama? Je baada ya mwili kuzikwa hyo roho yaweza kuonekana kwa macho ya kibinadam?
Haya mambo hayako afrika tu yapo kila mahali ukisoma haunted house nyingi utaonaMkuu hebu tupia mifano hai pasina shaka maana naona hayo mambo ya mauzauza ni huku kwetu africa tu.na je una uhakika gani kama makazi yetu tunayoishi hayajawahi kuwa makaburi au kufia watu na kuozea hapo na kuishia hapo kabisa.