mtz one
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 4,274
- 1,210
NImepata kumsikia mwazuoni mahiri Afrika ya Mashariki na kati Ndg. Sheikh, maalim Ilunga Hasan Kapungu akielezea zana ya mfumo kristo,,, katika maelezo yake yoote mi nimechukua mfumo kama dhana pale alipobainisha namna waliogusa mfumo huo walipata kwa mujibu wa mafundisho yake.
nikirudi kwa wenzetu Chadema bado tunataharuki kubwa jee kuna nini hasa huko ndani ambacho kila anekigusa anapata??? walianza akina Juliana Shonza,,,, Mtela Mwampamba,,,Chacha wangwe habib mchange na sasa akina Zitto tunataka wahusika watuambie kuna nini huko ndani kinachomaliza maisha ya kisiasa ya watu namna hii?? karibuni kwa michango
Aione @Dr.W.P.Slaa,,,,, Tumaini Makene,,,, Kurugenzi ya Habari na wana jf wote
NB: michango yenye mwelekeo wa kidini haitakiwi tutoe michango itakayodumisha umoja.

Last edited by a moderator: