Dhana Ya" MFUMO KRISTO" na CHADEMA

Status
Not open for further replies.

mtz one

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
4,272
1,210
NImepata kumsikia mwazuoni mahiri Afrika ya Mashariki na kati Ndg. Sheikh, maalim Ilunga Hasan Kapungu akielezea zana ya mfumo kristo,,, katika maelezo yake yoote mi nimechukua mfumo kama dhana pale alipobainisha namna waliogusa mfumo huo walipata kwa mujibu wa mafundisho yake.

nikirudi kwa wenzetu Chadema bado tunataharuki kubwa jee kuna nini hasa huko ndani ambacho kila anekigusa anapata??? walianza akina Juliana Shonza,,,, Mtela Mwampamba,,,Chacha wangwe habib mchange na sasa akina Zitto tunataka wahusika watuambie kuna nini huko ndani kinachomaliza maisha ya kisiasa ya watu namna hii?? karibuni kwa michango

Aione @Dr.W.P.Slaa,,,,, Tumaini Makene,,,, Kurugenzi ya Habari na wana jf wote

NB: michango yenye mwelekeo wa kidini haitakiwi tutoe michango itakayodumisha umoja.
 
Last edited by a moderator:
Ndani ya CHADEMA, kumejaa viongozi walafi na wakatili. Kila anayegusa maslahi yao lazima akione cha mtema kuni
 
Kichwa cha habari ya post yako pamoja na maelezo ya mwanzo yote yamekaa kidini dini.....Halafu baadaye unakuja kuongelea kitu kingine ambacho sioni uhusiano wake na udini-dini ulioutaja hapo mwanzoni.

Halafu ulivyokuwa mpumba-vu (nimetumia hili neno makusudi - sababu ndilo haswa linalokufaa) unamalizia mwishoni kwamba eti michango iliyo na mielekeo ya kidini haitakiwi !

NImepata kumsikia mwazuoni mahiri Afrika ya Mashariki na kati Ndg. Sheikh, maalim Ilunga Hasan Kapungu akielezea zana ya mfumo kristo,,, katika maelezo yake yoote mi nimechukua mfumo kama dhana pale alipobainisha namna waliogusa mfumo huo walipata kwa mujibu wa mafundisho yake.

nikirudi kwa wenzetu Chadema bado tunataharuki kubwa jee kuna nini hasa huko ndani ambacho kila anekigusa anapata??? walianza akina Juliana Shonza,,,, Mtela Mwampamba,,,Chacha wangwe habib mchange na sasa akina Zitto tunataka wahusika watuambie kuna nini huko ndani kinachomaliza maisha ya kisiasa ya watu namna hii?? karibuni kwa michango

Aione @Dr.W.P.Slaa,,,,, Tumaini Makene,,,, Kurugenzi ya Habari na wana jf wote

NB: michango yenye mwelekeo wa kidini haitakiwi tutoe michango itakayodumisha umoja.
 
NImepata kumsikia mwazuoni mahiri Afrika ya Mashariki na kati Ndg. Sheikh, maalim Ilunga Hasan Kapungu akielezea zana ya mfumo kristo,,, katika maelezo yake yoote mi nimechukua mfumo kama dhana pale alipobainisha namna waliogusa mfumo huo walipata kwa mujibu wa mafundisho yake.

nikirudi kwa wenzetu Chadema bado tunataharuki kubwa jee kuna nini hasa huko ndani ambacho kila anekigusa anapata??? walianza akina Juliana Shonza,,,, Mtela Mwampamba,,,Chacha wangwe habib mchange na sasa akina Zitto tunataka wahusika watuambie kuna nini huko ndani kinachomaliza maisha ya kisiasa ya watu namna hii?? karibuni kwa michango

Aione @Dr.W.P.Slaa,,,,, Tumaini Makene,,,, Kurugenzi ya Habari na wana jf wote

NB: michango yenye mwelekeo wa kidini haitakiwi tutoe michango itakayodumisha umoja.

mod ondoa uchafu huu tayali yeye mtoa haoja keshajiweka kiudini udini
Hakuna haja ya kuchangia chochocte hapa
 
CUF:Ibrahim Lipumba, Maalimu Seifu, Alhaj Mtatiro, Duni Haji wote hawa ni watu wa "kanisa"
 
Mi naona sakata zima la CDM na ZITTO KABWE limesha levya wengi hadi ku post vitu vya kifikra mnachemka: hakuna ulevi ulio mbaya kama huu.....wekeni mada ELIMU hili ni jamvi kama kilivo KIGODA CHA MWALIMU....napita hakuna hoja jadidi hapa!!
 
Unayo hoja kias chake,

Japo hujaweka wazi sana unataka kujuzwa nini kuhusu hiyo dhana na chadema kama chama,

Ila mimi nitagusia kitu kimoja,

UKRISTO ni iman ya watu,kuihusisha moja kwa moja na falsafa ya chama fulani wakati mwingine inakua hatufanyi haki kwa iman hiyo,kwani ukristo kama iman hauwez kuwa subset ndan ya siasa au ndan ya chama,nasema hivyo kwa sababu wapo au ipo aslimia kubwa sana ya watu ambao wao hawajihushi kabisa na siasa kwa namna yyte ile ila wao wapo na ukristo kama njia na mfumo wao wa maisha wa kumtukuza mola wao kwa namna mbali mbali,

Wapo sasa wandamu ambao ni waumin waiman hiyo ambao either kwa makusudi kabisa au kwa madhaifu ya kibinadamu wanaamua kuutumia kama ngao yao katika kutekeleza shughuli zao za kidunia mfano haya mambo ya siasa,

Tunayo mifano ya watu kadhaa ambao walikuwa ni viongoz wa iman hii lakin baadae wakaasi na kukimbilia kwenye siasa mfano ni KATIBU MKUU WA CHADEMA NDUG WILBROAD SLAA,

Watu kama hao kwa kias flan huwez kuwaona wanaiacha iman hiyo moja kwa moja kwani mioyo yao huwasuta kwa kuujua kamba wameacha mbachao(MUNGU) kwa msala upitao (SIASA) kwa maslahi ya kidunia kwa fikra zao wenyewe pasi na ushawsh wa kitu chochote,

Hoja kuu ambayo wengi huwa wanaionyooshea chadema na iman hiyo kwanza ni ile hali uasisi wa chama hiko,mfumo wa uongoz,aina ya viongoz waliopo na taswira yake kwa ujumla ukilinganisha na jamii za watu wa iman zingine,

Tokea kuasisiwa kwake viongoz walio wengi huonekana ni wa iman hiyo,kias kilichopelekea kuonekana kama kuna ajenda fulani iliyojificha ndan ya chama hiko,
 
mkuu mimi nimejaribu kurejelea alichokuwa akiongelea shekh ilunga na kujiuliza kuna nini huko chadima kinachoharibu future za watu namna hii???
 
Mi naona sakata zima la CDM na ZITTO KABWE limesha levya wengi hadi ku post vitu vya kifikra mnachemka: hakuna ulevi ulio mbaya kama huu.....wekeni mada ELIMU hili ni jamvi kama kilivo KIGODA CHA MWALIMU....napita hakuna hoja jadidi hapa!!
wewe ni memba humu una uwezo wa kupost pia hayo unayotaka siye tuachie haya tuendelee nayo
 
Ni jambo la ajabu sana kuona mtu mzima na akili yake anatupa thread yenye kichefuchefu kwenye mtandao huu mzuri! Ndugu yangu ni nini mahusiano ya ukristu na CHADEMA?. Ni vizuri tukawa na busara katika kuleta habari tusiwe na fikra mgando katika maswala ya jamii.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom