Dhana ya kuombewa

Madaraka kumbe huwafanya watu wajisahau kiasi hiki na kujiona kuwa wao ni viumbe wa daraja la juu wanaopaswa kuabudiwa?
 
wala hakuna aneitaji maombi yako .Mungu hapangiwi ALILOPANGA AMESHAPANGA
mAGUFULI FOR LIFE
 
... eti mtu anayekuita ****za, katili aliyekubomolea nyumba yako, anayekukataza usiseme unachofikiri, katili aliyebadilisha gia angani na kufukuza chuo, anayeapa atahakikisha unaishi kama shetani, etc. anakwambia umuombee? kweli ni dhihaka kwa mwenyezi Mungu.
 
... eti mtu anayekuita ******, katili aliyekubomolea nyumba yako, anayekukataza usiseme unachofikiri, anayeapa atahakikisha unaishi kama shetani, etc. anakwambia umuombee? kweli ni dhihaka kwa mwenyezi Mungu.
God is watching...!
 
Genesis 12:3 I will bless those who bless you, and whoever curses you I will curse. .... (tafakari) baraka hii alipewa mtu tajiri sana. ... hapo sasa..
 
Genesis 12:3 I will bless those who bless you, and whoever curses you I will curse. .... (tafakari) baraka hii alipewa mtu tajiri sana. ... hapo sasa..
Sahihi kabisa ambaye hawezi kufanana na huyu kwa namna yoyote ile
 
Sahihi kabisa ambaye hawezi kufanana na huyu kwa namna yoyote ile
Jamani jamani kawekwa na MUNGU. ..neno linasema. .tii watu walikuwa madarakani! Hapo sasa
 
Jamani jamani kawekwa na MUNGU. ..neno linasema. .tii watu walikuwa madarakani! Hapo sasa
ISIS hizi sentence zinasikika Africa tuu..huko kwingine ni vigezo na masharti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…