kuna haja kweli ya hilo litolewe ufafanuziMimi ninavyofahamu wakati wa ufanyaji wa mapenzi kuna baadhi ya hormone za mwanamke ambazo huwa stimulated na kuzalishwa na kwenda moja kwa moja kupitia kwenye damu na kwenda hadi kwenye maziwa ambazo hizo hormones ndizo huleta madhara kwa mtoto na sio shahawa ambazo huleta madhara. Naomba atoe ufafanuzi kuhusu hormone za mama zikiwa stimulated wakatj wa kufanya mapenzi zinaweza leta madhara kwa mtoto?
