Grand Master Dulla
JF-Expert Member
- Jul 20, 2012
- 411
- 152
Asante xanaa kaka kwa usaidizi wakoKutafuta mali huwa ni kwajuhudi binafsi ila kuishika hiyo Mali isipotee ndio kuna maaeifa mengi.
hata mimi nahisi hivyoUzushi tu Afrika ukifanikiwa hapakosi majungu
ndo nani huyo?Unamjua mjomba ake Omar?
je wa2 walikuwa wakiyaona wakati anatembea nayo?Kipindi cha nyuma kuna Mzee alikuwa anafuga hayo madude kule Mwera-Pangani alikuwa anaitwa Halichwi.
Jioni alikuwa akiwa matembezini yalikuwa yanamfata.
Na akikusemea kitu kesho haufiki.