Mkitumia EFD hamtapata maluweluwe, record za receipt na pesa zita match.Mi niliuza kutoka asubuhi saa 1 hadi saa 5 asubuhi, nkaingia kwa droo kuweka ela sawa kuhesabu nna 250,000 tu wakati kwa kukisia nilikaribia laki 4, nilifanya hesabu za haraka kwa wateja niliowauzia nnaowakumbuka nkapata laki 340,
Ni mda ila hadi leo sijapata ufumbuzi, ila now nikiuza nakusanya ela papo hapo, sijui kama inasaidia ila sina namna nyingine ya kufanya
Tatizo mnajidai wajanja, halafu mna poteza track ya hesabu mnasema chuma ulete.