Las Mas Bobos
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 991
- 326
Zaidi ya Msumbiji Baadhi ya nchi zingine zilizo OIC ni
1. Guinea Bisau
2. Gambia
3.Sierra leone
4.Togo
5. Somalia (Toba!!!)
6. Chad
n.k
Zaidi ya Msumbiji Baadhi ya nchi zingine zilizo OIC ni
1. Guinea Bisau
2. Gambia
3.Sierra leone
4.Togo
5. Somalia (Toba!!!)
6. Chad
n.k
Kwanza huu ni UBWANA na UTWANA wa kiarabu, maisha ya kishetani kabisa. Hivi mtu akitaka kukusaidia mpk akulazimishe ujiunge na mambo yake?
Palitokea maafa makubwa sana Haiti mwaka juzi, hivi kuna mtu aliwasikia hawa jamaa wakifanya juhudi yeyote kutoa misaada zaidi ya ARCS na Ufaransa? Wao wanaweza kukusaidia tende tu wakati wa Ramadhani
Hapo kwenye Red ndipo penye hoja nzito. Ni vizuri ponda na genge lake la wahuni wakajibu hizi hoja.
Hebu tutajie waliotajirika kupinga huo mfumo!
Ok naungana na wale waliopendekeza tutoe hoja si kwa jazba na maneno makali ya kuvunja utanzania wetu mimi nina swali naomba mnijibu kama mnajua OIC haina faida kama mlivyoeleza mbona mlitumia nguvu kubwa akiwemo mzee Nyerere kupinga tusijiungeee? Mpaka sasa mzee malichela analo kua hakumshauri vizuuri mzee mwinyi? mbona kila likiibuka bungeni mishipa inawasimama? mbona zanzibar imeliweka mpaka kwenye kero za muungano limeshindwa kutatuliwa? narudia swali kama OIC haina faida kwa waislam kama mlivyotoa mifano kwa baadhi ya nchi mbona waislaamu wakilianzisha mishipa inawasimama? jibuni halafu niwaelimishe zaidi Kuhusu hayo mashirika ya REDCROSS mliyosema yanatoa misaada kwa bahati hadi naandika huu ujumbe nipo kwenye eneo moja la mgogoro nikiwa na hayo hayo mashirika ya misaada.Mkuu hiyo somalia ina afadhali huko Guinea Bissau na Chad ni aibu. Kuna vinchi vyao vingine vinaitwa Mali na Niger yani ni full aibu aisee na huko wote ni wanachama wa OIC....