Dhambi ya usaliti yamtafuna Hamad Rashid

Dhambi ya usaliti yamtafuna Hamad Rashid

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,683
Reaction score
272,542
Maandiko matakatifu yameweka wazi ukubwa wa dhambi ya usaliti na kwamba laana yake inatafuna mpaka kizazi cha 4 , tena bila ya kujali cheo cha Mhusika.

Hamad Rashid ambaye "alihongwa" vyeo baada ya " kuuza mechi " sasa ni dhahiri vyeo alivyohongwa vimeanza kumtokea puani , ametajwa kwenye ripoti ya Ndugai imemtaja kuliingizia Taifa hasara kubwa mno
 
Kwa miaka mingi sana tumekuwa tukionya watu kujiepusha na ccm kwa sababu tunafahamu kitakachowakuta .
Na walio upinzani kwa kusaliti CCM hiyo laana yako haiwawahusu!! Au kama kawaida ya kuangalia vitu kwa miwani ya mahaba.
 
ripoti zote lowasa hajachomoza, dah kumbe dingi Wa watu ni safi.
Hahahaha safiii..??? Muulize Tundu Lissu kwanza aliyeandika LIST OF SHAME akishakupa jibu uje hapa utapike tukusikie..msijifanye kusahau mambo wajameni au tuwakumbushe na clip zao kina Mnyika., Lema., Msigwa..muone walizungumza nini...msitufanye sisi majuha wajameni
 
Wakijiepusha na ccm waende chama gani..?? Mbona hili swali huwa hampendi kulijibu..wajinga kweli..tupe chama mbadala tuone kama unaweza tamka hapa hadharani...shwain
i am not saying you are mentally retarded
i am saying you are suffering from paralysis of analysis
wewe solution ya matatizo yetu unaiweka kwenye vyama tu!!!!
 
i am not saying you are mentally retarded
i am saying you are suffering from paralysis of analysis
wewe solution ya matatizo yetu unaiweka kwenye vyama tu!!!!
Hiv unawezaje kuendesha serikali kwa katiba iliyopo bila chama...hebu tupe style na version uliyonayo..usijifanye huelewi mfumo wetu..zungumza na fact ili wengine tuelewe..huenda una mawazo mapana zaidi..lets go..
 
kwa hiyo tuswitch mjadala uende kwenye katiba sasa..let's go
 
i am not saying you are mentally retarded
i am saying you are suffering from paralysis of analysis
wewe solution ya matatizo yetu unaiweka kwenye vyama tu!!!!
Sijui wewe solution utaiweka wapi..bungeni au..!!hata bungeni kuna chama tawala na upinzani...na tangu lini upinzani ukatoa solution ya matatizo bila kuongoza dola..we jamaa unatupoteza huelewi unachosema
 
labda niambie waarabu walipoziondoa serikali zao dhalimu(arab spring) walikuwa wanaongozwa na chama gani
unaona sasa unavyoonekana mweupe kichwani!!!
 
Back
Top Bottom