Dhambi saba mbaya zaidi

Dhambi saba mbaya zaidi

Umeshindwa kuuweka ushirikina hata kwenye namba 7!!!????
 
Umeshindwa kuuweka ushirikina hata kwenye namba 7!!!????mshana!
 
daa umenikumbusha binamu yangu kila siku wimbo wake ulikuwa "ukiwa mroho usiwe mchoyo"
 
nilifundishwa kama mizizi ya dhambi,
uchoyo
uchafu
uvivu
hasira
wivu
ulevi na ulafi
na uasherati kama sikosei,

zinasound humo humo,
 
Kabla ya kuuliza hivyo je ni kweli ama si kweli?
Dhambi saba hatari, well said. Ila kiufupi ni usubject wako ndio umeziona hizo. Maandiko yanasema "IWENI NA HASIRA ILA MSITENDE DHAMBI, WALA JUA LISICHWE............."
 
Dhambi saba hatari, well said. Ila kiufupi ni usubject wako ndio umeziona hizo. Maandiko yanasema "IWENI NA HASIRA ILA MSITENDE DHAMBI, WALA JUA LISICHWE............."
Usiyatafsiri maandiko kwa mstari mmoja mmoja utapotoka na kukosa elimu pana inayopatikana huko
 
Kumbe USIUWE, USIZINI na USIIBE sio dhambi kubwa kabsaaaaa....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom