Inaangukia kwenye hizo hizo.nilikua naogopa kufungua nikajua utataja kujamiiana.....
Hali ya Kutokuwa na dhambi kwa muda fulani inawezekana lakini sio Kutokuwa na dhambi continuouslyIla Sina Iman Kama Kuna Binadam Asiye Na Dhanbi
Tunaendelea na ufunuo wa siri ya namba saba...kwenye mwendelezo huo wa siri ya namba saba leo hebu tujadili hizi dhambi saba ambazo ndio kama mizizi saba ya dhambi zote za ulimwengu huu...kwamba kupitia hizi ndio zao la madhambi yote unayojua na kuyafahamu hapa duniani
Kwa mshangao wa wengi dhambi nyingi unazowaza si kati ya hizo saba.. Hebu tuzipitie moja baada ya nyingine
1. Tamaa(lust) tamaa hii ni ile ya utamanifu wa kimwili, na kutaka kuitosheleza nafsi iwe kingono, na tamaa nyingine zote za nafsini na hisia za kimwili
2. Uroho(gluttony) uroho ni sehemu ya tamaa, lakini hapa ni kwenye kumiliki na kutawala zaidi..dhambi nyingi za uchawi na mauaji zimetokana na uroho
3. Choyo(greed)ukiangalia mfuatano huu utagundua kitu cha kushangaza mno, uchoyo ni tunda la uroho.,MTU mroho daima ni mchoyo .. Uroho na uchoyo haviachani
4.Wivu(envy)mtiririko ni uleule ,MTU mwenye wivu ni mchoyo ni mroho pia ana tamaa
5. Ghadhabu(wrath) hapa tumepoteza watu wengi na hata kugombana kutokana na ghadhabu za mmoja ama wengi..sababu kubwa zikiwa ni wivu choyo tamaa nk..
6. Uvivu(sloth)..kama ulikuwa hujui uvivu pia ni dhambi... Na matokeo ya dhambi hii ni kutaka kupata na kustarehe bila kutoka jasho hapa wizi utapeli udanganyifu vimefanyika sana
7. Kiburi(pride) unaweza pia kuita majivuno..kwamba Mimi ni mimi na hakuna zaidi yangu mimi...matatizo mengi yametokea kwenye jamii kutokana na kiburi na kujiona bora kuliko wengine (hata JF tunao)hii ni dhambi ya kunajisi uumbaji na kumkataa Mungu ama la kumkosoa.nknk
Hizi ndio dhambi saba kuu ...najua hakuna mkamilifu kati yetu na wote tunashiriki dhambi hizi kwa njia moja ama nyingine...na wote tunajijua udhaifu wetu ulipo ila kwa kiburi na unafiki wetu huwa tunajivika koti jeupe kuficha uchafu uliomo ndani yetu
Mungu ibariki Tanzania na wanyonge wake...!!!






Good morning na asante kwa mchango mzuri, ila naomba uzingatie para mbili za mwanzoni mwa post... Wewe unastick kwenye maandiko ni sahihi kabisa ila mimi nimeandika universally katika ujumla wakeMkuu HAYA ULIO YAANDIKA YAMETOKA KATIKA KITABU KITAKATIFU????
KWA MTAZAMO WAKO???
MANAKE SIYAAMINI MACHO YANGU KUYASOMA
KWA MFANO NAMBA.4 KUA. NA WIVU NI DHAMBI!!!!! DAAAHHH UNAENDA KINYUME BROO
NAOMBA UNIFAFANULIE. HIZO DHAMBI 7 kama umetpa ktk maandiko tupe ufunuo huo
DHAMBI YA KWANZA DUNIANI NI KUMSHIRIKISHA MWENYEZI MUNGU
vitabu vyooote vinasema
Hivyo,,cha kustaajabisha ktk hizo Dhambi 7 ulizozitaja hio MAIN THING hujaitaja
KIBURI(QIBRI) hio pia ni dhambi yenye darja kubwa saana kua na kiburi ni sawana kuvaa vazi la mwenyezi Mungu lkn cha ajabu ndio umeitaja ni ya 7
UVIVU sio dhambi MKUU
Usihukumu kitu ambacho hakijahukumiwa wala hatupaswi kuharamisha
Kitu ambacho hakija haramishw
Ghadhabu pia
Mshana nisichambue zaidi hii inaonekana ni kama ujumbe umeitoa ktl fikra zako kumtumia mtu lkn ktk maandiko hayapo![]()
Asante sana naona mchango hauna tofauti sana na mchango wa stickvibration.... Naomba upitie na reply yangu kwakeMkuu HAYA ULIO YAANDIKA YAMETOKA KATIKA KITABU KITAKATIFU????
KWA MTAZAMO WAKO???
MANAKE SIYAAMINI MACHO YANGU KUYASOMA
KWA MFANO NAMBA.4 KUA. NA WIVU NI DHAMBI!!!!! DAAAHHH UNAENDA KINYUME BROO
NAOMBA UNIFAFANULIE. HIZO DHAMBI 7 kama umetpa ktk maandiko tupe ufunuo huo
DHAMBI YA KWANZA DUNIANI NI KUMSHIRIKISHA MWENYEZI MUNGU
vitabu vyooote vinasema
Hivyo,,cha kustaajabisha ktk hizo Dhambi 7 ulizozitaja hio MAIN THING hujaitaja
KIBURI(QIBRI) hio pia ni dhambi yenye darja kubwa saana kua na kiburi ni sawana kuvaa vazi la mwenyezi Mungu lkn cha ajabu ndio umeitaja ni ya 7
UVIVU sio dhambi MKUU
Usihukumu kitu ambacho hakijahukumiwa wala hatupaswi kuharamisha
Kitu ambacho hakija haramishw
Ghadhabu pia
Mshana nisichambue zaidi hii inaonekana ni kama ujumbe umeitoa ktl fikra zako kumtumia mtu lkn ktk maandiko hayapo![]()
Asante sana naona mchango hauna tofauti sana na mchango wa stickvibration.... Naomba upitie na reply yangu kwake
Mshana 7:13 hiyo, au mpaka itoke Mido Isti?Hapo tupo pamoja Mkuu
Kama
Ni mchango tu tuchangie hapo TOGETHER TUNAWAKILISHA,,
mimi nilfkiri labda umeyatoa ktk MAANDIKO TAKATIFU
Mshana 7:13 hiyo, au mpaka itoke Mido Isti?
