halloperidon
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,101
- 5,266
Nilitegemea vitu vya kuogofya kumbe hamna kitu
Yeah Ni dhambi ila ukitenda dhambi moja umetenda zoteLakini bado zinabaki kuwa dhambi
Nimeshangaa hata kula rambi rambi hujaiwekaBasi una safari ndefu bado. ....
Kwahyo ulichoandika ni mizizi ya dhambi na siyo dhambi zenyewe ama, may be ita make senseKama umenisoma vema nimesema mizizi ya dhambi zote....zingatia neno MIZIZI
Nimerud kusoma yote nimekuelewa mkuuVema usiishi kwa kutegemea title... Utapata shida sana....

Tamaa za maendeleo ya sio dhambiDhana ya kutamani ni pana lakini inategemea unatamani kwa muktadha gani hasi ama chanya?
Duuuu nimejaliwa vingi w ewe sijui ungependelea nikupe nn???Chochote kile ulichojaaliwa na unachoweza kutoa kwa hiyana yako.

Nisawa hata huo wivu nakuwanao unakiasi,Basi tunda la roho ni upendo, utu wema, KIASI......! Tunapaswa kuwa na KIASI kwenye kila jambo