Dhambi kubwa

ndavandava

Member
Jun 18, 2015
94
37
Wewe Nitakupeleka Polisi

Vichekesho
January 14th, 2016
0 Comments
54 Views


Padri alikuwa akiwaungamisha waumini wa kanisa lake huku kila mmoja akitaja dhambi zake waziwazi moja baada ya nyingine kisha padri anawaombea kwa Mungu na kuwataka wasirudie tena. Ikaja zamu ya muumini mmoja…

“…dhambi zangu ni hizi…

nilisema uongo, niliiba injini ya gari kwa yule tajiri pale mwembeni, nilizini na mke wa yule mfanyabiashara wa samaki, nilimshawishi demu wangu kutoa mimba…”

Padri: (akamkatisha) wewe nitakupeleka polisi, nisubiri nje.
 
Mmmh hivi hili la kuungama kuua au majikosa makubwa makubwa kwa nini wasiwe wanapelekwa polisi sheria ichukue mkondo wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom