Dhambi 8 za wanaume waliooa!!

Ntakasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
1,428
Reaction score
456
1-Kutumia nguo nzuri au taulo la mwilini kufutia gari.

2-Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa

3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.

4-Kuacha magazeti yanazagaa chini baada ya kuyasoma.

5-Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa.

6-Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike kuwa anavutia bila hofu.

7-Kukosoa muonekano wa mke bila kujali atajisikiaje.


8-Kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.

Kuna ambaye hajafanya dhambi moja kati ya hizi??
 

Ikiwa umeolewa, nahisi mme wako ana shughuli pevu; hasa hapo no 5 hadi 8!
 
Namba 3 na 8 hapo nimejifunza kwann nisema uongo!
Lkn 8 sio mara kwa mara kutokumsifia!!
 
9. Kubinya dawa ya mswaki katikati....

10. Kuvaa boxer / singlend chafu

11. Kutongoza haus gel

12. Kuwa wavivu kuoga/kupigaswaki ...........

Nitarudi!!!!

Ahsanteeeee.........nakusubiri!.
 
Ninaona mnaendelea kujibu mashambulizi, je dhambi za wanawake walioolewa ni sehemu yake hapa?
 
9. Kubinya dawa ya mswaki katikati....

10. Kuvaa boxer / singlend chafu

11. Kutongoza haus gel

12. Kuwa wavivu kuoga/kupigaswaki ...........

Nitarudi!!!!

Sasa kuvaa boxer au nguo chafu si kosa la mwanamke mwenyewe jamani.
 
kula bata na mpenz wake wakati nyumbani kaacha mia tano ya matumizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…