Dhahabu Yetu Hiyoo Inaondoka!!!

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,268
17,097
jw2.jpg
 
Aiseeee! Yaani hivi hivi "LIVE" bila chenga!
Ama kweli Tanzania ni shamba la BIBI!
 
Wabongo kwa ulalamishi, kama mtoto anayelelewa na mama wa kambo! OK! tumeona live tunafanyaje sasa?
 
Safari_ni_Safari Acha kupotosha Habari!

jw2.jpg

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange akiwa ameshikilia mfano wa funguo baada ya kukabidhiwa na Meja Jenerali Qian Lihua kutoka nchini China ikiwa ni ishara ya kumkabidhi chuo hicho.


====

jw1.jpg


Waziri wa Ulinzi na JKT Dk. Hussein Mwinyi na Meja Jenerali Qian Lihua kutoka nchini China wakikata utepe wakati wa makabidhiano ya Chuo cha Kikuu cha Kitaifa cha kijeshi (National Defence College) kilichojengwa Kunduchi jijini Dar es Salaam

55.jpg


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowasa, wakati akiondoka katika Chuo cha Mafunzo ya Jesho cha National Defence College (NDC) baada ya kufungua rasmi mkutano wa siku nne wa kubadilishana uzoefu baina ya Serikali ya Tanzania na China, kuhusu mafunzo ya Ulinzi. Ufunguzi huo umefanyika Mei 21, 2012 katika hicho kipya cha kilichojengwa na Wachina eneo la Kunduchi jijini Dar es Salaam.


==

ARMY officers will now train in modern technology warfare following Monday's handover of state-of-the-art buildings for the National Defence College with training expected to take off next September.

The college which is located on the outskirts of Dar es Salaam at Kunduchi area was constructed between April and December last year by Tanzania People's Defence Forces in partnership with The People's Liberation Army (PLA) of China at the cost of 6bn/-.

The Chief of Defence Forces (CDF), General Davis Mwamunyange, said when the training starts in September, this year, priority will be given to senior members of the army and senior public servants .

"The college will train not only military personnel, but we will also include servants from other sections of national security as well as senior public servants ," he said.

He pointed out that the college was set to achieve several objectives which include, bringing together selected senior officers of the armed forces, their civilian counterparts of the government and friendly foreign countries for the purpose of giving them exposure to various issues of national security among others.

"The central theme of this college should be the challenge of managing changes while preserving stability and the relevancy of political economic and military power in this context," he said.

Source:

http://dailynews.co.tz/home/?n=16230

http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=24953

==

Jamani kwa nini ulete hapa Jamvini habari za kupotosha?

Nyie ndio huwa mnafanya JF ionekane kama haina habari za kuaminika!

Fanya utafiti wako kwanza kabla ya kutoa habari / picha

 
ivi nikiulizwa nimejifunza nini toka kwa viongozi wetu unajua nitajibu nini,labda wizi,uongo na mengineyo ambayo ni magumu kusema kwa umma
 
ARMY officers will now train in modern technology warfare ....

The college which is located on the outskirts of Dar es Salaam at Kunduchi area
Kunduchi sio pembeni ya Dar-es-Salaam kama habari inavyodai, mji unapanuka na hapo ni katikati ya makazi ya watu, unaweka kambi ya watu ku "train in modern technology warfare," halafu silaha zikienda mrama zikaua wananchi ndio tutasema nini," Mungu amewapenda zaidi"??
 
Dhahabu iwe kubwa hivyo halafu ibebwe kama kitambaa?

Wacheni kuwa wajinga, ndyo maana mambo ya kweli hamyaoni.
 
safari_ni_safari acha kupotosha habari!

jw2.jpg

mkuu wa majeshi ya ulinzi jenerali davis mwamunyange akiwa ameshikilia mfano wa funguo baada ya kukabidhiwa na meja jenerali qian lihua kutoka nchini china ikiwa ni ishara ya kumkabidhi chuo hicho.


====

jw1.jpg


waziri wa ulinzi na jkt dk. Hussein mwinyi na meja jenerali qian lihua kutoka nchini china wakikata utepe wakati wa makabidhiano ya chuo cha kikuu cha kitaifa cha kijeshi (national defence college) kilichojengwa kunduchi jijini dar es salaam

55.jpg


makamu wa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, dk. Mohammed gharib bilal, akiagana na waziri mkuu mstaafu, edward lowasa, wakati akiondoka katika chuo cha mafunzo ya jesho cha national defence college (ndc) baada ya kufungua rasmi mkutano wa siku nne wa kubadilishana uzoefu baina ya serikali ya tanzania na china, kuhusu mafunzo ya ulinzi. Ufunguzi huo umefanyika mei 21, 2012 katika hicho kipya cha kilichojengwa na wachina eneo la kunduchi jijini dar es salaam.


==

army officers will now train in modern technology warfare following monday's handover of state-of-the-art buildings for the national defence college with training expected to take off next september.

The college which is located on the outskirts of dar es salaam at kunduchi area was constructed between april and december last year by tanzania people's defence forces in partnership with the people's liberation army (pla) of china at the cost of 6bn/-.

The chief of defence forces (cdf), general davis mwamunyange, said when the training starts in september, this year, priority will be given to senior members of the army and senior public servants .

"the college will train not only military personnel, but we will also include servants from other sections of national security as well as senior public servants ," he said.

He pointed out that the college was set to achieve several objectives which include, bringing together selected senior officers of the armed forces, their civilian counterparts of the government and friendly foreign countries for the purpose of giving them exposure to various issues of national security among others.

"the central theme of this college should be the challenge of managing changes while preserving stability and the relevancy of political economic and military power in this context," he said.

source:

Daily News | China hands over Defence College to Tanzania

Home

==

jamani kwa nini ulete hapa jamvini habari za kupotosha?

Nyie ndio huwa mnafanya jf ionekane kama haina habari za kuaminika!

Fanya utafiti wako kwanza kabla ya kutoa habari / picha


ha ha haa........je na twiga aliwezaje kupanda ndege?......kumbe hujaewlewa maana yangu eh?......mtu akujengee chuo burebure?
 
Mahandaki tutabaki nayo yatatusaidia wakati wa vita pindi tutakapo hoji kulikoni hivyo?
 
Back
Top Bottom