Dhahabu yafoka Nanyumbu Mtwara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dhahabu yafoka Nanyumbu Mtwara

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by babalao 2, Oct 8, 2012.

 1. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,216
  Likes Received: 1,269
  Trophy Points: 280
  Mtwara kumebarikiwa kwa kweli hakika MUNGU ni mwema.
  Mfumuko mkubwa wa madini ya dhahabu umegunduliwa katika kijiji cha LUKWIKA wilayani NANYUMBU MKOANI MTWARA.
  Taarifa hiyo imetolewa na kamishina wa madini mkoani mtwara ndg. Aloyce Tesha mbele ya waandishi wa habari.
  Hazina hyo kubwa ya dhahabu iligunduliwa wiki mbili zilizopita na tayari wachimbaji na pamoja na watoa huduma wako eneo hilo.
  Haya sasa upele umeota tena na sisi ndiyo wale tusio na kucha tuwaite tena Barick wakafanye mahandaki. Tusifanye makosa tena tupate faida sio hasara tena.
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,392
  Likes Received: 81,412
  Trophy Points: 280
  Barrick wakisikia kuhusu hili lazima watatia kambi kule haraka sana ili wakaendeleze uchukuaji wao wa rasilimali za Taifa.
   
 3. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kesho to utaona wawekezaji wanaanza kuwafukuza wazawa na waliogundua.
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu BAK, hata Zitto akigundua ni noma maana ni kuwadi wa hao barrick, Mkuu Matola analijua hilo...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Rohombaya

  Rohombaya JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 8,255
  Likes Received: 3,086
  Trophy Points: 280
  kwanini Mtwara isijitenge na kuwa nchi kamili kama Unguja na Pemba baada ya kugundua mafuta???:biggrin:
   
 6. k

  kibananhukhu JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hiyo inaitwa "Gold Rush". Usukumani huitwa rush. Mara nyingi huwa ni alluvial Gold, ni 98%. Ni vipande vya dhahabu halisi tofauti na dhahabu ya kuponda mawe yawe mchanga au vumbi na kisha kuchanganya na maji kuiyeyusha ili mwisho iwekewe mercury ili kuikusanya kama vijitonge vya ugali. Dhahabu hiyo huwa na asilimia chache. Rush huwa haidumu muda mrefu kwani uvamizi wa watu huzidi hata idadi ya elfu 50 wakati mwingine ndani ya masaa 35.

  Changamoto ni sheria ya madini. Mtu (Mtanzania) haruhusiwi kushika au kuokata au kukutwa na madini kama hana leseni. Brokers, Dealers, Prospecting au Mining. Hata ukiwa unachimba choo chako na ukakuta madini ukiokota ni kosa. Ndo maana wote wanaokimbilia rush huitwa "illegal Miners". Ni lazima watafukuzwa chapo sababu za usalama ni za kweli na zitatumika kwani huchimba hovyo na hawapo organised.
   
 7. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,122
  Likes Received: 2,180
  Trophy Points: 280
  Nawaonea huruma watu wa uko maana watazikwa wakiwa hai,wawaulize wenzao wa kakola.
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,392
  Likes Received: 81,412
  Trophy Points: 280
 9. L

  LEAD Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chonde chonde jaman wawekezaji,waachieni na wazawa tena wanyonge pia wawekeze..
   
 10. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,216
  Likes Received: 1,269
  Trophy Points: 280
  Hivi kwa rasilimali hizi ni kwa nini tumeamua kuwa taifa gonjwa na
  dhaifu
   
 11. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,956
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Kwa sababu rais wetu ni dhaifu.
   
 12. Augustine Moshi

  Augustine Moshi JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 22, 2006
  Messages: 2,210
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hatukuamua; tunalazimishwa. Tungekuwa na uongozi bora tungejadili mikataba na wawekezaji waziwazi na kuhakikisha hatudhulumiwi.

  Kwa sasa mikataba ni ya siri na haizingatii manufaa yetu.
   
 13. D

  DanieCorrigan New Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kesho to utaona wawekezaji[​IMG]
   
 14. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ngoja niandae zana nishuke huko
   
 15. L

  Lughe Senior Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hallo Kibabhukhu unaweza nijuza taratibu na gharama za kumiliki hizi documents kwenye swala zima la madini in case already I have a company
  ;
  1.Brokers License
  2.Dealers
  3.Prospecting and
  4.Mining License

  Ili nami nifaidi hii fursa.

  Asante nawasilisha.
   
 16. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 160
  ngoja nikachukue kibali na kugush document,tuje na mabomu ya machozi kuwaondoa wazawa,tuanze kuchimba
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,865
  Likes Received: 6,216
  Trophy Points: 280
  inauma sana i see..... Itawanufaisha wanasiasa na wasouth......so sad
   
 18. GREAT VISIONAIRE

  GREAT VISIONAIRE Senior Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 178
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  unishtue ukipata
   
 19. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Membe atawapeleka huko haraka sana.
   
 20. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,312
  Likes Received: 1,783
  Trophy Points: 280
  Kwenye miti hakuna wajenzi...nimeanza kuamini hivyo.
   
Loading...