Swali zuri. Artificial intelligence hebu njooWanyama je Kama ngombe,sisimizi panzi walitengenezwa na hao viumbe wa ajabu.
Gold Bado inachimbwa Kwa matumizi ya kawaida tu Kwenye baadhi ya vitu vya kiteknolojia na baadhi kama Urembo na kuhifadhi kama njia ya utajiri ila hapo kale dhahabu ilichimbwa Kwa mamillion ya Tani na ndio maana ukienda Kwenye jamii za kale kama Sumerians, Assyrian, Babylon, Egyptian, Kush, Aztec, Maya Peru, Indus valley civilizations dhahabu ndio ilikua code Yao yaani ni ajenda kuu na mpaka Leo Kuna ushahidi wa bronze zimenakshiwa dhahabu kuonesha umuhimu wake zama hizo na ndio maanaMada nzuri sana nimepata kujua vingi. Swali jee kama mission ilikua Gold why now hatuchimbi dhahabu binadamu wote au tumefuata ustaarabu wetu.
Kuhusu hao viumbe wengine sijapata kufuatilia na kujua kuhusu utengenezwaji wao.Wanyama je Kama ngombe,sisimizi panzi walitengenezwa na hao viumbe wa ajabu.
Sasa mkuu hayo annunaki baada ya kuwaumba wanadamu kwa ajili ya kuwachimbia dhahabu....! Vipi siku wakitosheka na hizo dhahabu ina maana na kiumbe mwanadamu itabidi uwe mwisho wake? Maana lengo la kuumbwa kwake litakua limetimia?Ni kweli mkuu wangu,
Mimi tokea nianze kuchimba kiundani maswala ya
Accient civilization nikaja gundua kila kitu walifanya wale Watu mpaka kua high advanced in science and technology Tena mpaka wakawa na mwingiliano na viumbe Toka nyota za mbali huko walifanya collaboration nao,
Pia nikaja jua kumbe zamani kulikua jamii za watu Fulani na zikatoweka Katika mazingira tata sana mfano jamii za watu wa Maya,Dogon na kule Peru Kwa mfalme Tupac Shakur watu wao walitoweka ghafla tu na kuacha miji Yao iliyojengwa Kwa code tata sana kua magofu tu na inasemakana waliobaki ni wachache sana Tena wale wasio na ujuzi wowote waliokua wanaishia mashambani huko Sasa hatujui ni kitu Gani kiliwafanya kudisappear ghafla na wale waliobaki walisema wametwaliwa na miungu kwenda juu na hapo wakaanzisha dhana ya kuabudu miungu jua wakiamini ipo siku watarudi kuwachukua na wao kama walivyotwaliwa Babu zao,
Kiuhalisia Annunak ndio waliofanya Hivyo maana nadharia ya jamii za Aztec, Maya, Peru nk
Walikua wanachimba dhahabu Kwa wingi sana na kuziweka Katika Temple zao Kwa matani ya kutosha ikawa kama sadaka Kwa miungu na wakiamini ipo siku watarudi kuzibeba,kama mtoa mada alivyoeleza lengo la Annunak ni dhahabu na ndio Ilikua project Yao hata kwenye jamii nyingine kama Mesopotamia,
Na inaonekana baada ya kumaliza project na kuondoka duniani jamii nyingi zilianza yumba wakaanza pigana kugombania sites walizoacha wale viumbe matokeo yake jamii nyingi zikayumba kabisa na kupoteza Kila kitu na kilichobaki kwao kama kumbu kumbu ni majengo kama Pyramids tu basi ila vingine vyote wakafeli kuviendesha siku zilivyozidi kwenda kikaja zaliwa kizazi kisicho na ujuzi wowote wakarudi zero kabisa na ndio tunaita dark ages,
Mpaka juzi juzi kizazi Cha gunduzi kikaanza Rudi na za chini chini inadaiwa ni either wale viumbe wamekuja kinamna nyingine ndio Hao wanaodaiwa wa kuitwa Alliens na project za Siri za mataifa makubwa au la hasha Kuna watu waliweza fungua code za kale zenye ujuzi mkubwa na ndio maana Kila kukicha Kuna gunduzi za kustaajabisha sana,
Yaani Mimi Bado napata mashaka ni jinsi Dunia ilivyobadilika Kwa Kasi ya ajabu sana ndani ya Muda mfupi kabisa Tena mabadiliko yamekuja kipindi wazungu kama kina Christopher Columbus & co wameanza izunguka Dunia na kurudi na baadhi ya maandiko ya Siri kwenye baadhi ya sites mfano Vatican walichukua files zote za kale kutoka maktaba ya Alexandria na kuipiga moto,kule mexico Hernan Cortez alibeba hazina pamoja na Siri zote kutoka Kwa king Montezuma na kuzipeleka ulaya na ndio maana walipoanza kuzunguka Dunia wakaanza piga hatua kubwa Katika ugunduzi wa machine mbalimbali na kuzaliwa mapinduzi ya viwanda,
Nimeweka mambo mengi Kwa wakati Mmoja ila najaribu tu kugusia Ili mtu aunganishe dot haya maswala!
mission za dhahabu walizimaliza maelfu ya miaka huko nyuma,kumbuka Hawa viumbe walikuja pre human civilization yaani kale mno kipindi ambacho modern human hatuna hata chembe ya kuwepo kwenye Uso wa Dunia,waliondoka na kuacha magofu tu mfano Pyramids za Giza ambazo ndio zilikua power Plant za kuzalisha umeme ziliacha kufanya Kazi na wakablock Kila kitu Chao Kwa kuweka codes tata na watu wengi Leo wanashindwa kuzifungua Ili kujua Siri zake!Sasa mkuu hayo annunaki baada ya kuwaumba wanadamu kwa ajili ya kuwachimbia dhahabu....! Vipi siku wakitosheka na hizo dhahabu ina maana na kiumbe mwanadamu itabidi uwe mwisho wake? Maana lengo la kuumbwa kwake litakua limetimia?
Kwa mfano mongolian chimbuko lao n wap?Annunaki walifanya project mbili kubwa ya
kwanza ni kutoa jamii za watu kutoka Primitive mfano ndio sisi blacks project hiyo waliifanyia Kush maana primitive wengi waliishi huku kusini mwa jangwa la Sahara hasa maeneo ya east Afrika na ndio maana tunapata nadharia za kina Zinjanthropus kupatikana Oldupai gorge wengi hua wanapinga hili ila ndio ukweli maana Annunaki walitubust Toka primitive mpaka
Homo sapiens Sapiens wenye kujitambua Yaani Ile manhood tukaacha kuishi kipori pori na ndio maana kush ndio sehemu ya kwanza kugundulika dhahabu na ndio project za Annunaki zikaanzia hapo na wakawa na machimbo mpaka Zimbabwe kule mwenemutapa,
Ndio maana ukanda huu wetu umebeba Siri kubwa sana na historia ya watu weusi Yaani Nile Valley yote kutoka hapo chanzo chake mpaka Accient Egypt kule juu Pana code za kushangaza,
Project ya pili ya Annunaki ni kuwa clone Binadamu wakitumia DNA zao wakichanganya na za Zamadam
(Watu/Blacks/Homo sapiens)
Hapa tuelewane ndugu zanguni wagumu kuelewa
WATU ni Zamadam/Primitive walio bustiwa DNA wakawa Homo sapiens Sapiens
BINADAMU ni clone ya
Annunaki + Homo sapiens Sapiens au wale primive wakaja tokea jamii za Caucasians ambao ni wazungu na ndio maana watu wanaoamini Dini hua wanajiuliza na kua na mijadala ilikuaje mtu wa kwanza aliumbwa mweusi wazungu walitokea wapi?
Au wanasema zamani walikua weupe tu ila mweusi alilaaniwa na miungu
(mfano Kwa wanaoamini Abrahamic religion)
Kiufupi ndio ilivyokua ila lengo la hizo project zote za Annunaki ni Gold mission duniani!
Mongolian si ni watoto wa gengis Khan Arif?Kwa mfano mongolian chimbuko lao n wap?
Nilimaanisha wachina,koreans na japanese chimbuko lao n wap?Mongolian si ni watoto wa gengis Khan Arif?
😁😁😁😁
Hii ni imani nyingine mbali na ile ya uislmau na ukristo,yaani haya mambo unayoyasema ni dini ambayo inatakiwa mtu aiamini kama hlivyoamini wewe.mission za dhahabu walizimaliza maelfu ya miaka huko nyuma,kumbuka Hawa viumbe walikuja pre human civilization yaani kale mno kipindi ambacho modern human hatuna hata chembe ya kuwepo kwenye Uso wa Dunia,waliondoka na kuacha magofu tu mfano Pyramids za Giza ambazo ndio zilikua power Plant za kuzalisha umeme ziliacha kufanya Kazi na wakablock Kila kitu Chao Kwa kuweka codes tata na watu wengi Leo wanashindwa kuzifungua Ili kujua Siri zake!
Pia walikua hawana haja ya kufanya chochote Kwa watu wao ambao tayari walikua na akili na maarifa wao walijua hata wakiondoka binadamu atasurvive tu maana amepewa akili na maarifa kutoka kwao ila walichofanya ni kutompa uwezo wa kufungua code za kufanya mambo makubwa maana walijua hulka za binadamu wataweza tengeneza siraha za maangamizi kupigana wenyewe Kwa wenyewe na kuisambaratisha Dunia,
Walichofanya ni kuwaachia ujuzi wa kutengeneza mapanga,mikuki na mishale tu
Walijua akipewa access ya kutengeneza Nuclear power na siraha za mionzi hapatakalika
Watafanya uharibifu tu,
Wakaondoka wakitegemea Ipo siku watarudi na Ndipo nadharia ya Dini ikazaliwa kama ushasoma maandiko yanayosema binadamu akiiharibu Dunia na maasi yakizidi kupitiliza Mungu atakuja iangamiza Dunia😁
Mkuu ANNUNAK ndio miungu wenyewe maana walijua binadamu ni kiumbe mbishi sana asipowekewa kanuni na sheria za kumtisha itakua full vurugu
Akatungiwa sheria na kanuni maalumu ambazo Kwa Leo ndio zimegeuka Dini!
So haya mambo yalianzia mbali sana!
Mkuu kama una kitabu iwe softcopy au hard vinavyousiana na accient civilization naomba unisaidie nivisome niongeze uwelewaNi kweli mkuu wangu,