Dhahabu iliyobaki Tanzania: Full Bright Prof. Lipumba #MchumiTufikishe

Hivi huyu mtu ana watoto wangapi? Maana labda tukiwajua tuwatafute tuwaombe wakampatie ushauri nasaha baba yao
Sijawahi kusikia hata kama ana mke. Sasa watoto atawatoa wapi? Labda achunguzwe kwanza jinsia
 
Huko ataenda kukuza na msaidizi wake wa karibu Sakaya
Propesa anapaswa kujitafakari kwa kina.
FB_IMG_1594573587894.jpg
 
Hahah. Lipumba kwa Cv yako kuwa rais wa Tanzania ni kukushusha vyeo. We ulitakiwa ukawe rais wa China au Canada, so mkuu wahi kachukue form CCP ukachuane na Xi Jinping. Kwanza hii nchi maskini sidhani kama tutapata mshahara wa kukulipa
 
Back
Top Bottom