Dhahabu iliyobaki Tanzania: Full Bright Prof. Lipumba #MchumiTufikishe

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
IMG_20200808_104334_744.jpg

DHAHABU ILIYOBAKIA TANZANIA

Bingwa wa Uchumi Duniani ambae pia ni Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF chama cha wananchi.

Fullbright Prof. Ibrahim Haruna Lipumba.

#MchumiTufikishe
 
Kuna mgao wake atachukua kutoka UAE; fungu kubwa kabisa kutosha matumizi yake ya miaka 5 ijayo, hadi 2025! Kugombea urais kwake ni biashara siyo siasa. Wala hajali hata asipopata kura hata moja bali anajali kuteuliwa na NEC kuwa mgombea Urais kupitia CUF au chama kingine chochote chenye mrengo wa dini yake, kwa mfano kama kilivyo chama cha NAREA.
 
View attachment 1530715DHAHABU ILIYOBAKIA TANZANIA

Bingwa wa Uchumi Duniani ambae pia ni Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF chama cha wananchi.

Fullbright Prof. Ibrahim Haruna Lipumba.

#MchumiTufikishe
Anaanza kuiga rangi za ACT, kwisha habari yake amebakia kukodoa macho tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
View attachment 1530715DHAHABU ILIYOBAKIA TANZANIA

Bingwa wa Uchumi Duniani ambae pia ni Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF chama cha wananchi.

Fullbright Prof. Ibrahim Haruna Lipumba.

#MchumiTufikishe
Tangu lini rangi za CUF zikabadilishwa kutaka kuwa kama za ACT. Hii ni CUF fake kabisa. Siyo ile ya kina Eng. Mnyaa na Hamad Rashid
 
View attachment 1530715DHAHABU ILIYOBAKIA TANZANIA

Bingwa wa Uchumi Duniani ambae pia ni Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF chama cha wananchi.

Fullbright Prof. Ibrahim Haruna Lipumba.

#MchumiTufikishe
Mchumi ambae ameshindwa kukitafutia chama chake vyanzo vya uchumi mbali na Ruzuku.
Uchumi wake unaishia kwenye makaratasi tu.
 
Kaishiwa huyo tangu 1995 anagombea anashindwa hakuna mwingine huko cuf
 
Back
Top Bottom