DG WA LAPF ANACHUKUA 10 MILL( Best paying GVT institution)


Du! hii kali. Na bado anafukuzana na vi-deal vinavyojitokeza. Hata hivyo the highly paid DG katika social security sector, ni wa PSPF. LAPF cha mtoto
 
Kaka naomba ni uliza, uyu DG wa PPF bwn WE anapewa housing allowance inakuaje wakat anaisha kwny nyumba ya Mfuko huo iliyopo pale Masaki mtaa wa ................................ ? Ufafanuzi
 


Haya sasa siyo malipo ya kawaida, ni ufisadi. Ndio maana hii mifuko inaelekea kufilisika na wanashindwa kuwalipa pension wanachama. Kuna baadhi maprofesa wa vyuo ambao wamestaafu miaka ya karibuni walipata malipo ya uzeeni chini ya milion 20 wakati wamechangia PPF katika kipindi chote cha utumishi wao.
 
nani kakwambia TRa wanalipa vizuri sana kwa govt? TRA wizi ndo unawafanya waonekane wanalipa sana. ila haya mashirika ya mifuko ya ifadhi zab jamiii ndo yanalipa vizuri, na wafanyakzi wao wana myanya michache mno ya rushwa na wizi, ukilinganisha na TRA! njo NHIF huku unione ninavyo ng'aa ndo kwanza nimeanza kazi na kitengo changu hakina hata chaneli ya kuchakachua pesa bali ni kazi tu, na nakula unono!
 
wana JF naomba kuwasilisha, kama hamjui the best paying government institution may be after TRA ni LAPF (local authorities pension fund) mana hata ukiwa ni mfanyakzi wa kawaida mshahara ni mnono.

DG= DIRECTOR GENERAL
pesa ndogo sana hiyo

unless hujui unasema nini au ndio wkanza umeanza kazi
 

jaman hiz nafac wanazpataje hawa wamutu,, kwel hii dunia its not fair.
 
tofauti ni kubwa kati ya mshahara na mshahara hivyo lazima tukubali katika nchi hii, hata vidole havilingani.
 
Mbona huo Mshahara unakaribia wa Walinzi wa BoT??? Best paying Best paying njoo boT uone watu wanavyokula bata.:whoo:

Kbs mtu km Governor anaondoka na USD 12,000/= per month bado marupu rupu!
 
Hebu niambie kama kuna mtu amewahi kuona tangazo la kazi za juu pale lapf. Ni ndoto wanaingia na kutoka walewale ila tofauti majina tu....utasikia, kimario, kihiyo, kimaro ,swai.....
 
Hao wote cha mtoto kiboko yao ni DG wa NSSF anakula 20 M na for your information asst. Directors wanakula 13M per month. The World is not fair ndo maana ma doctor wanagoma
 


kinu cha maiyako, apaa tata kafana teri!!!!! e-e!! yesu na maria!!!!
 
wana JF naomba kuwasilisha, kama hamjui the best paying government institution may be after TRA ni LAPF (local authorities pension fund) mana hata ukiwa ni mfanyakzi wa kawaida mshahara ni mnono.

DG= DIRECTOR GENERAL
wakati ni wake CDM MWACHE ATESE WENYEWE WANASEMA KUTESA KWA ZAMU
 
Hao wote cha mtoto kiboko yao ni DG wa NSSF anakula 20 M na for your information asst. Directors wanakula 13M per month. The World is not fair ndo maana ma doctor wanagoma

Umeniput off sana yaani tunavyofanyizwa makazi tunapewa mishahara mbuzi kweli hii dunia haina usawa hata kidogo...naenda nyumbani acha hata hiyo overtime yao wasinipe leo...bully shit...
 
Binadamu tuna matatizo!!!! Lipi jema lakini??? Serikali ikilipa mshahara mdogo tunaponda!!! Ooh!! serikali inalipa kiduchu!!!
Serkali ikilipa mshahara mnono ooh!! inalipa mshahara mkubwa!!! Sa unataka ifanyaje????

Wapi Maubig kaponda katika post yake original?
 
Ni kweli wakuu kuna watu wana mshiko mrefu, kwa mfano kuna NGO moja ya kimataifa walinitumia nafasi flani ya kazi, salary ilikuwa ni kama paundi 40,000 ya mwingereza ukibadili kwa hela ya kibongo 40,000*2500 unapata kitu kama 100,000,000/=kwa mwezi,
 
Kaka inaelekea ukonyuma katika kufaham ivi unajua kama General Manager mgodi wa buzwagi analipwa mil70 kwa mwez na apo bado ajapata posho

:target:

...Brother, Please tell me you are Joking! 70 Mil kabla ya Posho...??? well,well, well...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…