proceeds zpo mbna kama hyo website ya technocrats hapo juu ni proceed nzuri na developers wapo wengi sana Lakini huwezi ona wanajitangaza kwa sababu wengi hawafanyi kwa ajili ya opern source
Ulishakuja mjini? Maendeleo so far?Huku mikoani hakuna fursa kabisa ukisema ufungue workshop unapata mteja mmoja kwa week, watu hawajui hata website ni nn yaan shida tupu nakuja Dsm soon
Hii ilifungwa. Hopeful 2021 itakuwa live Mungu akitupa uhaiHivi Wabongo mumefikia wapi na hizi jitihada zenu za kuungana, nimejiunga kwenye forums zeu tofauti ila humo nakuta kimyaaa!!!
Halafu hii haifungui technocrats.co.tz
Jukwaa la tech limekuwa overcrowded na vitu vingi sana mara ufundi solar, simu , tv sijui maswala ya blender . Kwanini Maxence Melo usituwekee section ambayo developers tutakutana.
Btw, hili swala limezungumzwa sana .
Watalainika tu.Waafrika ni watu wagumu sana.
Tulitaka kufanya hii kitu ila tukasikia serikali nayo inayaka kukatisha ticket za mabasi online, tukaiachilia mbali kwani huwezi kushindana na serikaliTatizo letu ni pesa mbele. Developers ni problem solvers. Nlihudhuria wekshorp moja ya database mahali flan tukawa na expert mmoja toka UCC alinifumbua macho sana. Fikiria why kuna trial software, freeware, ni kukupa nafasi ya kujaribu bidhaa yao na ukiipenda ukanunue kwao.
Nikapata idea moja. Pale ubungo ukifika unagombaniwa km mpera wa kona. Hivi ukitengeneza database ambayo inakatisha ticket online. Unaweka POS ilu madalali wawe nazo ukaweka dirisha la kila kampuni kusajiliwa humo na kila kampuni inakuwa nanaccount yake so hela ikilipwa inaingia kwenye account direct. Kwa ticket moja charge 1000 tu ndo iingie kwe nye account yako. Then rudi utengeneze android app weka playstore. Na uwe na vijana pale ubungo watakaocreate awareness kwa watu wanawainstalia app kwenye simu zao na kuwaelekeza namna ya kinunua ticket online.
Kwa makampuni unawanunulia pc na modem pc za 150k duocore zinawatosha ubawapa bure kuzitumia. Ukiwa na kianzio cha kampuni 10 tu na ukatengeneza system yenye akili kama darlux hivi ikiwa full featured ila ikaongezewa kipengele za kuweza kupokea kampuni mbalimbali
Tulitaka kufanya hii kitu ila tukasikia serikali nayo inayaka kukatisha ticket za mabasi online, tukaiachilia mbali kwani huwezi kushindana na serikali
Little too late me thinks. That boat have sailed!Labda Maxence Melo aturehemu kwa kuweka jukwaa la developers.
Little too late me thinks. That boat have sailed!