Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,144
- 3,848
Mkuu mi nakuonea huruma sana, kwa sababu dhamira yako ni nzuri ila sasa wabongo ndo tatizo. Mi nakushauri hivi, kwanza kabisa tengeneza developer forum na kama ipo, weka categories utakazoona zinafaa kwa wabongo na kisha arika developers waliochangia hapa kwenye hii thread wakupe ushauri kuhusu hiyo forum yaani nini kiwepo na nini kinapaswa kisiwepo, baada ya kumaliza hiyo kazi yaani ikiwa imekamilika, utakuja kutuambia ili sisi tukusaidie kuitangaza kwenye magroup ya whatsapp, fb nk. Baada ya hapo tutafanya tathimini ya mwaka mmoja tangu kuanzishwa tuone kama juhudi zimezaa matunda, pia tukiendelea kuiboresha zaidi. Kuanzisha group fb sioni mantiki yoyote maana huko kuna magroup kibao yanayofanania na ulichoanzisha, sasa kwa sababu watu wana experience ya ubovu wa hayo magroup wanaona ni yale yale tu ndo maana unaona hakuna mwamko huko.Ni kwel ila niliwaambaia ambao wako interested wanichek fb tuanze mchako wa kushare ideas lakin wamerespond wawil mm nifanyeje hapo mkuu em we sema.
Asante nimejifunza kitu hapaSifa za wabongo wengi
1. Waoga
2.Hawana uthubutu
3.Wepesi kukata tamaa
4.Hawaangalii kesho, bali wanajali sana leo atapata nini.
5.Wanaogopa kupata hasara, ila wanasahau pia hasara ni somo zuri la kupata faida.
Ok good. Waambie Pia kuhusu Tanzania Technocrats ForumsMimi siyo developer nafanya programming za program zinazo run kwenye terminal ila change yangu mm ninawafundisha wadogo zangu na marafiki zao programming idi waje ku aspire kuwa ma developer
Usisubiri mtu akutafute. Fanya kwa uwezo ulio nao sasa. Mengine ni mbele kwa mbele!Kwaalie tayari anitafute tufanye project.
Usisubiri mtu akutafute. Fanya kwa uwezo ulio nao sasa. Mengine ni mbele kwa mbele!
Badala ya hiyo option, outsource hiyo kazi mgawane na hao utakaowapa.Kuna project imejitokeza hapa karibuni yakufanya kutoka kwa client nasiwez kukataa ila bado na project nyingne nafanya ndo maana nasema aliyetayari anitafute.
Hizi idea... Mwe!kama kuna mtu yuko interested mimi naomba niwape idea
- tutengeneze operating system
- open source api ya Voda na airtel
Mbadala wa php ni nini?? Hasa kwa mtu anayeanza jifunza...
- Srebrina. Inaonekana unatumia sana php ww ndo maana mawazo yako yako simple simple
mbadala wa kujifunza nn exactly??Mbadala wa php ni nini?? Hasa kwa mtu anayeanza jifunza...
Bro kwani kuna ubaya kwa izi project?Hizi idea... Mwe!
- Srebrina. Inaonekana unatumia sana php ww ndo maana mawazo yako yako simple simple
Ni kweli sasa tatizo ni watu wanaongea tu alafu hawaoneshi proceed yoyote