Deus Mallya Ajiunga na ACT Wazalendo

Inasemekana(tetesi) alitumwa na mbowe kumuua Wangwe

kwaiyo anaenda kusema kuwa alimuua wangwe kwa maelekezo ya mbowe du kweli act msomi nizzito pekee wengine certificates za journalism hata akili za kawaida shida. Nisameheni nilimuua wangwe kwa ushauri wa mbowe hapo kituo cha polisi ama makao makuu ya act? by the way nani anamfahamu mallya?Kama act Mallya ni wakuita waandishi wa habari napata hofu sana . akihamia Mdee mtaita CNN na Aljazira
 
Mpka sasa hakuna mtu wa maana na mwenye akili timamu aliyehama chadema mascrepa tupo ndio nasikia wanahama.
 
Khaaah! hata huyo aliekuwa akimponda Zitto kajiunga ACT?
Kumbe Zitto alikuwa na nguvu ana aliungwa mkono na wengi ndani ya chama ndio maana Mbowe akahifia kupiteza kiti.

Naamini chadema watabaki aki na Mzee Mtei.

Ben Saanane nae yupo mbioni kujiunga na ACT
 
karibu mzalendo

Ha,ha,haaaaaa, na wewe mwalimu uko act..!!??? Kumbe hiki chama kimejaza wahanga wa mapenzi duuuuh!! Mods nawashauri threads zooote zinazohusu hiki chama zipelekwe MMU tafadhali sana
 

Sasa huyo kumbe alimuua chacha wangwe kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…