Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,193
- 3,958
◇Mwanaume wa kisukuma ni ngumu kutangulizana na mkewe either mmoja aanze kutoka mwingine aje kwa nyuma ala kuondoka kwa pamoja hio sahau
◇ Ukienda usukumani chakula kizuri kama nyama ya kuku, mapaja na viongo vingine vitamu hupelekwa kwa wanaume
◇ wanaume kula na wanawake ni marufuku. Wanawake wanakula kivyao na wanaume kivyao
◇Mwanamke lazima uanze kumsalimia mmeo tena kwa kisukuma hhuna kiswahili
◇ wageni wakija lazima uwasalimie kwa kisukuma
◇ Mkipangwa kula na wageni kwa mtoto huruhusiwi kuchukua nyama kabla ya mgeni
◇ kwenye kuitna sasa mwanaume wa kisukuma hawezi kukuita jina lako badala yake atakuita ng'wanajuma 😁(maana ake mtoto wa juma)
Naishia hapo