and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,103
Tujifunze kwa Waafrika wenzetu wanavyotangaza vivutio vyao. Kumbuka wote tunatafuta watalii hao hao.
NB: Tuache ushamba, tumia pesa upate pesa.
Balozi zetu ughaibuni, amkeni nchi imefunguka leteni watalii, sio kushinda Twitter.
NB: Tuache ushamba, tumia pesa upate pesa.
Balozi zetu ughaibuni, amkeni nchi imefunguka leteni watalii, sio kushinda Twitter.