Desperate single women, acheni complication

Umebadilika sana siku hizi...kulikoni?
ukiona hivyo ujue vigezo na masharti vinalegezwa... age is just number yes but miili inachoka day after day ha ha haha so nakimbizana na mabadiliko ya mwili .. sielewi elewi mashavu yangu kama vile ..
 
Ivi unaamini kabisa kwamba anaweza kuwa rejected kiasi hicho? Kutokuwa rejected na wanawake 4 ndio kitu gani?! Kwamba una furaha?!!! Inawezekana usikubaliane nae lakini haimanishi ana hasira na kumbuka furaha yako ni wewe mwenyewe usiwe mjinga... Kama furaha yako inategemea jinsia nyingine pole sana kwasababu siku ukiikosa utajinyonga bure au ndio utapiga watu risasi kwa kukataliwa.
Hajielewi mkuu,anatafuta KIKI kila nikiweka bandiko wana wakilikubali ana mind na kunishushia kashda! achana naye nimeshamdharau.
 
mimi nacheka sababu sielewi mwanamke anaringa kwa lipi hasa,..... ila kiukweli mwanaume ni kichwa cha nyumba
Tatizo wasichana wakati bado wanachanua huwa hawajui life span ya usichana ni miaka kidogo sana! Ni pungufu ya miaka 10. Kwa maisha ya sasa umri muafaka wa msichana kuolewa kama amepiga Kitabu hadi chuo ni 23-27! Kama hajapiga Kitabu hadi chuo ni 19-25! Baada ya miaka hiyo na akawa bado hajaolewa nafasi ya kuolewa inakuwa ndogo sana! Ila anakuwa na nafasi ya pili finyu ambayo anapaswa kuitumia vizuri. Yaani miaka 28-32 kwa mwanamke (si msichana tena) msomi na 26-30 kwa msichana aliyeishia Sekondari! Akijifanya kudengua kwenye nafasi hii ya pili lazima aishie kuwa single mother!
Hapo ndipo atajikuta analazimika kukodi Serengeti boys wa kumkuna! Madogo wengi wanaishi mjini kwa ajira ya kukuna wadenguaji wa zamani! Funga kazi ni miaka 35+ mwanamke mwenye miaka hiyo kuolewa ni majaliwa, maana rika wanamwona ni mzee hata kama hawajaoa bado!
Kama akibahatika 35+ anaolewa na mwanaume wa 50+. Japo wanaume wa umri huo kwa mshangao bado wanaoa under 35! bila matatizo!
 
umeshuka shule iliyotukuka.mwenye masikio na asikie.hasa hawa wanaoshinda na smartphone bila kazi kutwa kuchwa wapo mitandaoni kusaka mabwana.hata hela za bundle ni kupiga mizinga.
 
Haha he keeps on talking about women wanting money and him having a lot of money. Yet kutwa kulia lia tu. Ndo ajue money is not everything.
Mwanaume asiyeweza kupata mwanamke ni yule asiyekuwa na hela.pia mwenye hela huwezi ukampangia namna ya kutumia fedha zake au mda wake.tatizo mnaacha kujadili hoja mnaishia kufuatilia maisha ya mtu kupitia jf unaweza kumjua mtu kweli?mnadhihirisha uhaba wenu wa akili na.kufikiri
 
Tatizo wasichana wakati bado wanachanua huwa hawajui life span ya usichana ni miaka kidogo sana! Ni pungufu ya miaka 10. Kwa maisha ya sasa umri muafaka wa msichana kuolewa kama amepiga Kitabu hadi chuo ni 23-27! Kama hajapiga Kitabu hadi chuo ni 19-25! Baada ya miaka hiyo na akawa bado hajaolewa nafasi ya kuolewa inakuwa ndogo sana! Ila anakuwa na nafasi ya pili finyu ambayo anapaswa kuitumia vizuri. Yaani miaka 28-32 kwa mwanamke (si msichana tena) msomi na 26-30 kwa msichana aliyeishia Sekondari! Akijifanya kudengua kwenye nafasi hii ya pili lazima aishie kuwa single mother!
Hapo ndipo atajikuta analazimika kukodi Serengeti boys wa kumkuna! Madogo wengi wanaishi mjini kwa ajira ya kukuna wadenguaji wa zamani! Funga kazi ni miaka 35+ mwanamke mwenye miaka hiyo kuolewa ni majaliwa, maana rika wanamwona ni mzee hata kama hawajaoa bado!
Kama akibahatika 35+ anaolewa na mwanaume wa 50+. Japo wanaume wa umri huo kwa mshangao bado wanaoa under 35! bila matatizo!
mmh wanawake tuna kazi
 
aliekudanganya kwamba wanaochoka uchi ni wanawake tu nani?? hebu tafuta mwanaume wa miaka 20,na wa miaka 35 kama wanalingana nanihii zao. wa miaka 35 utakuta yale madude mawili yamelegeaaa yameshuka chini.sory kusema hivi ila wanaume nao wanachakaa vilevile.
Yanakua yamelegea ila dyudyu imekomaa vizuri,na anajua kuitumia
 
I greet you all.

Watajwa hapo juu ni wanawake ambao hawana waume/mahusiano ya kudumu.
Wanaomba wapate japo mwanaume atakaweza kumsitiri, wengi wao ni wale ambao umri wa kugombaniwa na wanaume umepita kundi hili ndio wateja wazuri wa waganga wa kienyeji kwaajiri ya kusafisha nyota na kununua MGAGANE, ili aweze kuwanasa wanaume.

Tatizo lililopo ni baadhi yao wako very complecated, anaweka sifa na vigezo utafikiri ametoka kufanya NECTA Mwaka jana. Wadada, ukiwa kwenye fainali usisumbue bidders (watarajiwa) kuwa mnyenyekevu shukuru kwa yeyote anayekujia mradi anaakili timamu na anaweza kujitegemea na imani zenu ziwe sawa achana na kutafuta HB mda umeshakuacha!

Karibu tujumuike

Onyo, nothing personal here so don't come crushing to attack an innocent messenger like me.
 
mhh I think its personal towards those women.. btw its ur loss kukutana nao then wanakusumbua... sometimes it takes a real man to find a real woman...
 
Mwanaume asiyeweza kupata mwanamke ni yule asiyekuwa na hela.pia mwenye hela huwezi ukampangia namna ya kutumia fedha zake au mda wake.tatizo mnaacha kujadili hoja mnaishia kufuatilia maisha ya mtu kupitia jf unaweza kumjua mtu kweli?mnadhihirisha uhaba wenu wa akili na.kufikiri
Hahaha jipe moyo na hela zako. Defence mechanism aliyoongelea blue G. Utaendelea kurudi kulia lia humu kila siku.

Ukisema uongo tutakuongelea tu. Hujui tu unapata therapy ya bure hapa.
 
Back
Top Bottom