Desperate single women, acheni complication

Inaonyesha hata shule yako ndogo,kwani.hata ku summarize point unashindwa unajaza thread tu! hata sisomi hayo magazeti yako! so dont waste your time&resources
Wenye shule zao hawaongeagi pumba kama zako mkuu Bobo LUSE wanareason na tena wakiambiwa wanakubalia sababu sio wewe ambaye naona unaanza kupanick na kuleta lugha za kashfa na kunitusi juu,pole that wont take me back kwenye ukweli lazima niseme na pole pia kama maneno yangu yanakuumiza kwa sababu nakuambia ukweli

tena kwa akili kama yako hayo maneno mawili tu hayakutoshi maanake una kichwa kigumu hata ukitwange hakilainiki.

na kwa tabiaa hii nayozidi kuijua kupiia maandishi yako ni wazi ni kwa nini huna bahati na wanawake no woman will ever be interested with a man like you hata ukipata jua anakulia hela zako na wala hana feture na wewe,pole kwa ukweli mchungu
 
inaonyesha kweli kijeba! kama umekasirishwa na jina zuri kama hilo! pole no wonder unatoka povu.
maneno kama vijeba ni maneno ya wanaume wakuda wambea waliozoea kusutana huwezi kukuta mwanume anayejielewa anatumia maneno kama hayo tena kwa mwanmke ni wazi unachofanya hapa ni kama umeniwekea kikao cha kunisuta au kunitusi au kunipiga vijembe jambo ambalo mwanaume kama mwanume katu huwetomwona anashughulika na mambo kama hayo,na kwa tabia hii tena naona sababu kwa nini huna bahati na wanawake,hakuna mwanmke atayevutiwa kujenga feature na mwanume kama binti
 
Wenye shule zao hawaongeagi pumba kama zako mkuu Bobo LUSE wanareason na tena wakiambiwa wanakubalia sababu sio wewe ambaye naona unaanza kupanick na kuleta lugha za kashfa na kunitusi juu,pole that wont take me back kwenye ukweli lazima niseme na pole pia kama maneno yangu yanakuumiza kwa sababu nakuambia ukweli

tena kwa akili kama yako hayo maneno mawili tu hayakutoshi maanake una kichwa kigumu hata ukitwange hakilainiki.

na kwa tabiaa hii nayozidi kuijua kupiia maandishi yako ni wazi ni kwa nini huna bahati na wanawake no woman will ever be interested with a man like you hata ukipata jua anakulia hela zako na wala hana feture na wewe,pole kwa ukweli mchungu
summary zero! nimetoa onyo discuss topic lkn ww unanidiscuss mimi! real simple mind discuss people not ideas or events.
Sijawahi ona mwerevu anakuja kudadavua pumba!
 
suit yourself mkuu Bobo LUSE how do you except me to discuss me to discuss ideas and events without people hahahahahahah you are so funny maybe yoo have forgotten that NO PEOPLE NO EVENTS NO IDEAS ni sawa na kuijadili nyumba nzuri bila kumjadili mjengaji wake,imejijenga?imejiotesha?I discuss people and their events and ideas because all of those comes from people

grow mkuu grow and think big mbona we hukudiscuss ideas zangu ukawa unanidiscuss mimi mpaka ukaniita kijeba?no me no my ideas mkuu

kudiscuss events and ideas without discussing people whom they came from its a lunatic thing only an insane person can do that.

narudia tena kwa tabia hizi utawafungulia sana wanawake thread mkuu BOB LUSE
 
halafu kwani topic imejileta mkuu BOB LUSE imejiandika imejituma you cant be serious mkuu
 
suit yourself mkuu Bobo LUSE how do you except me to discuss me to discuss ideas and events without people hahahahahahah you are so funny maybe yoo have forgotten that NO PEOPLE NO EVENTS NO IDEAS ni sawa na kuijadili nyumba nzuri bila kumjadili mjengaji wake,imejijenga?imejiotesha?I discuss people and their events and ideas because all of those comes from people

grow mkuu grow and think big mbona we hukudiscuss ideas zangu ukawa unanidiscuss mimi mpaka ukaniita kijeba?no me no my ideas mkuu

kudiscuss events and ideas without discussing people whom they came from its a lunatic thing only an insane person can do that.

narudia tena kwa tabia hizi utawafungulia sana wanawake thread mkuu BOB LUSE
enjoy my service. at a zero cost.air your view. simple mind discuss people no doubt.
 
hahahahahahaha suit yourself mkuu mark my words I will not stop discussing people as everything comes from us us People so usitarajie uje na thread yako hapa ina sehemu nyingi tu za kuchalenge afu nidiscuss topic bila wewe doesn't bring sense at all.
 
enjoy my service. at a zero cost.air your view. simple mind discuss people no doubt.
and I will never ever need service from a person of your nature because I will gain nothing at all
 
and I forgot one thing mkuu BOB LUSE hivi wewe kwenye thread zako huwa unazileta ili watu wadiscuss nini?au wanwake ni objects not people,yaani kwa kuanza tu you are among those low people who discuss people instead of ideas and events kila kukicha wanawake oohh hiv vile hao wanawake ndo hizo ideas na events au wanwake ni vitu na sio watu?grow mkuu grow and think big changes begins with you kama uko serious hutaki watu wadiscuss watu anza na wewe uache kudiscuss watu vinginevyo kwa hizo thread zako unawaleta watu wa kike tuwadiscuss hapa utasubiri sana.
 
my topic is general it is applicable to any one sir. i hope real G does not represent real girl my dear. sorry for the unguided missiles
and I forgot one thing mkuu BOB LUSE hivi wewe kwenye thread zako huwa unazileta ili watu wadiscuss nini?au wanwake ni objects not people,yaani kwa kuanza tu you are among those low people who discuss people instead of ideas and events kila kukicha wanawake oohh hiv vile hao wanawake ndo hizo ideas na events au wanwake ni vitu na sio watu?grow mkuu grow and think big changes begins with you kama uko serious hutaki watu wadiscuss watu anza na wewe uache kudiscuss watu vinginevyo kwa hizo thread zako unawaleta watu wa kike tuwadiscuss hapa utasubiri sana.
 
you seem to be very bitter to women, why?
usituambie nothing's personal wakati inaonekana una ishu na hawa watu
kwa hiyo mtu akiweka hata vigezo gani, au akiwa hata na ndoto za kuwa na ndoa ambayo haiwezekani how is this your business?? when you say nothing is personal it means it's your business
but in this case it's not
real G nimependa post yako bure and I hope you are a man I have the same thought as yours
 
ha haha badala ya ndoa yake iwe mfano yeye anataka sherehe ya harusi iwe mfano .. ha ahahah kwa hili kwa kweli wamepotea
Jamani sio vizuri kumcheka mwenzio kama umri umeenda bado hajaolewa hawa watu wanahitaji faraja na upendo wa kweli pengine walikutana hapo mwanzo wa usichana wao na wanaume ambao hawakuwa na malengo yoyote ya maisha wakacheza nao mchezo wakikubwa mara mimba jambo hili wanawake wengine kwa kabila fulani ni kama laana hawapati heshima ya kuolewa,,.leo wanapohitaji mme wanachagua sana lakini nikuwavumilia na kuwa ushauri wa kuwajenga kimaisha na fikra zao...binafsi nawashauri waache mtindo wakuchagua sana wanaume wenye sifa.. angalia wanaume hatunaga uchaguzi saaana mwanamke wakuoa tunachoangalia zaidi ni mwanamke ambaye ana upendo wa ndoa na ana mwelekeo wakuheshimu mme na sio mke kuwa ndo baba,...wanaume hawapendi kabisa kushushwa thamani yao na mwanamke.

Sasa mwanamke mwenye kujiona amesoma sana ana kazi nzuri anakuwa hana adabu kwa mwanaume atampangia mme wake hata siku yakumpa utamu,,,...wakati mwingine anamkatalia tu makusudi akijua kwamba utamfanya nini..hapo ndo kwenye tatizo waone walioachika na single mama wengi wao ni watu washari, kiburi wenye majib machafu kwa wanaume na majivuno LAKINI mwisho wa siku hao hao ma single mamma wanarudi kutafuta viserengeti boys nakuwapa ujira wa vijisent ilimradi ato....we nakujiridhisha nafsi yake nakutaka kuwa na mwanaume wakumfariji..pengine wanataka mwanaume hata kama sio wakumuoa bali wakumhakikishia usalama wa maisha na mali zake yaaani bado wanahitaji nguvu na uwepo wetu... pamoja na uzuri wao na kuringa kooote wanarudi palepale kwa muumba--mwanaume kichwa cha nyumba basi!
 
mimi nacheka sababu sielewi mwanamke anaringa kwa lipi hasa,..... ila kiukweli mwanaume ni kichwa cha nyumba
 
Mhuuuuuuuu!!!Sawa.
 
and I will never ever need service from a person of your nature because I will gain nothing at all
here you are replying without gaining anything! stalker you got a problem.
 
BOB LUSE ivi mtu ambaye yko desperate anaweza kuchagua kweli? nadhani hujui hasa maana ya mtu ambaye yuko desperate. kajifunze kwanza
 
Mwanakwetu upo ulaya au bongo?hujawahi kuona mtu anataka kitu lakini anaonyesha hakitaki na kukidis juu?wabongo tuna pride tunakufa na tai shingoni.nadhani umeona majibu ya baadhi ya wahanga wanavyo justfy kuweka sifa na vigezo mbele.so wapo mkuu.
 
Back
Top Bottom