Desperate single women, acheni complication

ina maana umri hauwatupi wanaume mkono? maana naonaga tu mnasema wanawake umri unaenda sa sijui wa kwenu wanaume unarudi nyuma??
dogolasi wanaume sisi ni hela tu na mtalimbo ufanyekazi! si unaona kifaa kile alichovuta Mzee wa IPP?
 
na mwanamke akiwa na hela je? nae si anavuta? coz wanaume siku hizi wasivyopenda kujituma acha tu! wanapenda vya bwerere. au labda nikuulize hivi kwanini mnaconsider wanawake ambao umri umeenda kwamba ni desparate?? umri si namba tu?
 
Mwanaume akiwa na Mwanamke mwenye umri tofauti nayeye wakitoka na kula bata popote it is understandable and acceptable in society lakini upande wa mwanamke,sihitaji ku comment unajua ilivyo.....
 
Nilikutana na rafiki wa utotoni...nikamwambia huyu ndio mwanangu wa kwanza...eti ulikuwa wapi au ulikuwa unachagua...
Kwi kwi kwi...yani kwa kuwa mimi mwanamke atakayekuja yeyote nimkubali....sina macho wala choice...
Ndio mleta mada...wengi walioolewa wakiwa watoto wamebugi meeen....wengi wanaonekana wazee kuliko umri wao...
Huyo dada nilimsahau kabisa...kama lile tangazo la uzazi wa mpango....
 
Umri wa kuishi wa makisio wa Mtanzania ni miaka 45, ila kama umegonga 40 bado unachagua mh
 
Hahahaa sasa jamani umri ukienda ndo waopoe tu hata koroma? Acha wachague kitu roho inapenda.....kuspend the rest of your life na mtu ambae sio chaguo lako yahitaji moyo wa chuma..
word......................
 
Nilikutana na rafiki wa utotoni...nikamwambia huyu ndio mwanangu wa kwanza...eti ulikuwa wapi au ulikuwa unachagua...
Kwi kwi kwi...yani kwa kuwa mimi mwanamke atakayekuja yeyote nimkubali....sina macho wala choice...
Ndio mleta mada...wengi walioolewa wakiwa watoto wamebugi meeen....wengi wanaonekana wazee kuliko umri wao...
Huyo dada nilimsahau kabisa...kama lile tangazo la uzazi wa mpango....
Dada ukiona mada soma vizuri uelewe.ukikuta maneno ya kiingereza yamo jiridhishe tafsiri yake.unachokisema na nilichokiandika havina uhusiano,usinilishe maneno yako tafadhali.situation yako ni mtu ambaye ni HAPPILY SINGLE! (Hii next time) leo ni DESPERATE SINGLE.Rudi kwenye mada kama una hoja.
 
Hahahaa sasa jamani umri ukienda ndo waopoe tu hata koroma? Acha wachague kitu roho inapenda.....kuspend the rest of your life na mtu ambae sio chaguo lako yahitaji moyo wa chuma..
Sawa, lakini isiwe at the expense of the other half
 
wanatusumbua sana huku mtaani dada yangu! utasikia nataka sherehe ya Harusi yangu nataka iwe ya mfano! mfano upi wakati umetumika mpaka umechoka!
ni kwel kabisa yan uchi hauendani na umri
 
aliekudanganya kwamba wanaochoka uchi ni wanawake tu nani?? hebu tafuta mwanaume wa miaka 20,na wa miaka 35 kama wanalingana nanihii zao. wa miaka 35 utakuta yale madude mawili yamelegeaaa yameshuka chini.sory kusema hivi ila wanaume nao wanachakaa vilevile.
 
mbona mimi nimevuka hiyo 35 lakini haya makitu hayajalegea
 
Hahahaa umenena hapo
 
wee kiboko! umefanya utafiti huo kwa vitendo! lakni wenzio wanaangalia performance sio maumbile! pia katika umri uliotaja miaka 20 uwezo wa mwanaume huyo kuridhisha mwanamke wa miaka 35 anamuacha kwa mbali huyo wa 20! experience ina add value ujue?
 
mbona mimi nimevuka hiyo 35 lakini haya makitu hayajalegea
lazima yatakuwa yamelegea we angalia ukiwa unasex utaona yanafanya kama kuchapa k, kijana wa miaka 22 yamekaza.tena nyie wanaume mkifika 29 kuendelea mnaaza kuchakaa na mnachakaa vibaya mno basi ni vile tu sie wanawake ni wavumilivu.
 
wee kiboko! umefanya utafiti huo kwa vitendo! lakni wenzio wanaangalia performance sio maumbile! pia katika umri uliotaja miaka 20 uwezo wa mwanaume huyo kuridhisha mwanamke wa miaka 35 anamuacha kwa mbali huyo wa 20! experience ina add value ujue?
Kama ndo hivyo kwamba alie na miaka mingi ndo ana experiance ya kuridhisha mwanamke basi na vilevile kwa mwanamke mwenye miaka mingi anaweza mridhisha mwanaume zaidi so ni haki tena sana wachague hata kama umri umeenda.
 
lazima yatakuwa yamelegea we angalia ukiwa unasex utaona yanafanya kama kuchapa k, kijana wa miaka 22 yamekaza.tena nyie wanaume mkifika 29 kuendelea mnaaza kuchakaa na mnachakaa vibaya mno basi ni vile tu sie wanawake ni wavumilivu.
unajua we ndo mtu wakwanza kuniambia uchi wa mwanaume unazeka dada nakuhakikishia uchi wa mwanamke uliochoka ni mbaya hata kwa kuutazama tu
 
Back
Top Bottom