mimi nacheka sababu sielewi mwanamke anaringa kwa lipi hasa,..... ila kiukweli mwanaume ni kichwa cha nyumba
Karibu sana mkuuMiss chagga, kumbe Unamiliki maktaba ya hekma kama mwanamke..salute uuu..
Sasa nitatanguliza Contena la$ kama salamu zakuja kijijini moshi kwa wazee..
Huku Tandika vibinti vidogoo ndiyo vinashinda kwa waganga kung'arishwa nyota ili violewe
Hahahaaa,uswazi huko kikolo,bila nyota kuwaka unazikwa! lazima waende kwa ustaadhi/fundi asome kitabu
Wanaume wanaokujaga kutukana wanawake humu ni rejects.na kwa tabiaa hii nayozidi kuijua kupiia maandishi yako ni wazi ni kwa nini huna bahati na wanawake no woman will ever be interested with a man like you hata ukipata jua anakulia hela zako na wala hana feture na wewe,pole kwa ukweli mchungu
Bobo LUSE am back again dude I got no problem but you have that's why you keep on speaking about women matters shame on you,narudia tena jiangalie sana behaviours zako ndo hizo zinakufanya utendwe na watoto wa kike afu unakuja kumalizia hasira zako hapa poor boy man whateverhere you are replying without gaining anything! stalker you got a problem.
yes am not gaining anything replying but at least am telling you the truth something that matters to me a lot dudehere you are replying without gaining anything! stalker you got a problem.
i command sufficient cash flow so I don't have a problems with these member of opposite sex. it is just a matter of selecting someone who is within my class.i keep on saying penniless men are the victim of your theory.count me outBobo LUSE am back again dude I got no problem but you have that's why you keep on speaking about women matters shame on you,narudia tena jiangalie sana behaviours zako ndo hizo zinakufanya utendwe na watoto wa kike afu unakuja kumalizia hasira zako hapa poor boy man whatever
Alafu unapenda ligi na mimi! kila post yangu lazima unifuate na kuniponda binafsi siyo mada! Binafsi humu sijipendekezi kwa wanawake ili niwapate! wanawake ni wengi kuliko sisi wanaume na wamejaa kila kona! humu napiga facts tu bila fear au favouryes am not gaining anything replying but at least am telling you the truth something that matters to me a lot dude
Mimi ni mwanaume nikianza kuongelea habari za wanaume humu nao wataniona mimi kama shoga labda sio jinsia yao.pia utakuwa ni usaliti kwa wanaume.siwezi fanya hicho kitu.mbona lala1 anatudhalilisha wanaume hujawahi mlaumu?Bobo LUSE am back again dude I got no problem but you have that's why you keep on speaking about women matters shame on you,narudia tena jiangalie sana behaviours zako ndo hizo zinakufanya utendwe na watoto wa kike afu unakuja kumalizia hasira zako hapa poor boy man whatever
hahahahahahah that's the way of covering up your pain and weakness kasome article ya Mtambuzi unachojaribu wewe hapa ni kucover udhaifu wako kwa kutafuta pesa kwa nguvu ili pesa zifidie pale ulipokosa yaani wewe ukiwa na pesa basi unaona kama umefill gap la kukosa a healthy realationship,moja ya dalili za kutojiamini pole braza hata uwe trilionea still utahitaji a healthy relationship ambayo sijui ka utakaa uipate kwa hizo tabia zako,labda kwa kuwa una pesa ununue relationship na uhakikishe haukumbwi na crisis hata mara mojai command sufficient cash flow so I don't have a problems with these member of opposite sex. it is just a matter of selecting someone who is within my class.i keep on saying penniless men are the victim of your theory.count me out
do you know ligi sir au unalisikiaga tu?are you serious unataka ligi na mimi?tuanze?yaani kuambiwa ukweli we unakuita ligi?kwangu mi hii ni kama debate naunda facts,ila kama unataka ligi funguka tu tuanzeAlafu unapenda ligi na mimi! kila post yangu lazima unifuate na kuniponda binafsi siyo mada! Binafsi humu sijipendekezi kwa wanawake ili niwapate! wanawake ni wengi kuliko sisi wanaume na wamejaa kila kona! humu napiga facts tu bila fear au favour
Huna ukweli wowote.pia sina mda huo wa ku debate.lets agree to disagree kila mtu abaki na msimamo wake.do you know ligi sir au unalisikiaga tu?are you serious unataka ligi na mimi?tuanze?yaani kuambiwa ukweli we unakuita ligi?kwangu mi hii ni kama debate naunda facts,ila kama unataka ligi funguka tu tuanze
kwa sababu mara nyingi sizisomi thread zake siku nikizisoma nikaona pa kuchallenge nitachallenge tu braza chill outMimi ni mwanaume nikianza kuongelea habari za wanaume humu nao wataniona mimi kama shoga labda sio jinsia yao.pia utakuwa ni usaliti kwa wanaume.siwezi fanya hicho kitu.mbona lala1 anatudhalilisha wanaume hujawahi mlaumu?
ungejua sina ukweli usingetumia muda wako kureply ila unajua ninaongea ukweli tena unaokuuma ndo maana uko bize kunrudisha ili kunifanya nisiseme ukweli na kupunguza maumivu yatokanayo na kuambiwa ukweli si unajua ukweli unauma?????Huna ukweli wowote.pia sina mda huo wa ku debate.lets agree to disagree kila mtu abaki na msimamo wake.
ushaona eeeh ndo aliyonayo huyu mwenzetu mleta maadaWanaume wanaokujaga kutukana wanawake humu ni rejects.
Wengine are in unhappy relationships.
Mtu ana mke wake tunashinda wote saa saba usiku kutukanana humu.
inaonyesha elimu yako ndogo! kwenye dabate huchallenge mtoa mada unadadavua mada! ukielewa hilo niko tayari kwa mjadala.kwa sababu mara nyingi sizisomi thread zake siku nikizisoma nikaona pa kuchallenge nitachallenge tu braza chill out
nonsenseungejua sina ukweli usingetumia muda wako kureply ila unajua ninaongea ukweli tena unaokuuma ndo maana uko bize kunrudisha ili kunifanya nisiseme ukweli na kupunguza maumivu yatokanayo na kuambiwa ukweli si unajua ukweli unauma?????