Desperate single women, acheni complication

wanatusumbua sana huku mtaani dada yangu! utasikia nataka sherehe ya Harusi yangu nataka iwe ya mfano! mfano upi wakati umetumika mpaka umechoka!
you seem to be very bitter to women, why?
usituambie nothing's personal wakati inaonekana una ishu na hawa watu
kwa hiyo mtu akiweka hata vigezo gani, au akiwa hata na ndoto za kuwa na ndoa ambayo haiwezekani how is this your business?? when you say nothing is personal it means it's your business
but in this case it's not
 
you seem to be very bitter to women, why?
usituambie nothing's personal wakati inaonekana live una ishu na hawa watu
mkuu usinigombanishe nao! am just sharing my experience na kufurahia maisha ya mijadala,pia siishi kwenye isolation wako wanaume wenzangu wengi wanakubaliana na ninachofunguka,any way wiki ijaya nitaanza na good things zao to make their life easy! japo wanaume hawatanielewa pia.
 
Hahahaa sasa jamani umri ukienda ndo waopoe tu hata koroma? Acha wachague kitu roho inapenda.....kuspend the rest of your life na mtu ambae sio chaguo lako yahitaji moyo wa chuma..
Yap umenena
 
mkuu usinigombanishe nao! am just sharing my experience na kufurahia maisha ya mijadala,pia siishi kwenye isolation wako wanaume wenzangu wengi wanakubaliana na ninachofunguka,any way wiki ijaya nitaanza na good things zao to make their life easy! japo wanaume hawatanielewa pia.
mkuu kwani wakiweka masharti au wakiwa na ndoto za ndoa ambazo haziwezekani...how is this your business?
because you said nothing is personal
 
how will you feel your sister being at home for good just because she is dictating terms to men's?
 
wanatusumbua sana huku mtaani dada yangu! utasikia nataka sherehe ya Harusi yangu nataka iwe ya mfano! mfano upi wakati umetumika mpaka umechoka!
ahaaaaaaaa WAMETUMIKA ,WAMECHOKA. Wametumiwa na nani? Ndege wafananao?...... Ndege hutua kwenye mti aupendao wewe ukiona umetua kwa hao wadada walotumika na kuchoka jua na wewe uko over used ndo maana ukatua pale. Kula kitu roho inapenda wewe kama unapenda dogodogo nenda kule baba usiwazibie wenzio bahati hii iko simple sana haiitaji ata kufungua uzi.
 
Nisingefungua huu uzi unge comment vipi mkuu! mbona aliyecomment kabla yako ana mawazo tofauti na wewe?! dadavua mada! kama huta experience na topic ipotezee! kha
 
but it wasn't your sister you were talking about
my topic is general it is applicable to any one sir. i hope real G does not represent real girl my dear. sorry for the unguided missiles
 
popote ulipo ex wangu njoo usome huku, nashangaa huyu mwanamke nilimtema kwakuwa alikuwa jeuri sana,nikimkanya kuhusi magroup yake ananiambia sina uwezo wa kumuonya, mbaya akaja akacheat na jamaa flani baada ya kumuuliza akaniambia yule jamaa ni man of God yaani ni mlokole baadae nikaajiriwa ofisi moja na mskaji nikagundua jamaa ni kicheche mbaya, sasa huyu manzi amezalishwa saivi na mume wa mtu hana ramani tena,jamaa aliyemzalisha anamwambia hamtaki mtoto yule na wala asithubutu kumpigia simu wala upuuzi mwingine wowotw wa mtoto,saiv ndio anarud kwangu eti nimemwambia zama zimebadilika nani anataka vitu USED saiv wakati msitu umesheheni wanyama wa kila aina saivi ukitaka twiga, ukitaka punda milia, ukitaka sijui nini wote wanapatikana.
I greet you all.

Watajwa hapo juu ni wanawake ambao hawana waume/mahusiano ya kudumu.
Wanaomba wapate japo mwanaume atakaweza kumsitiri, wengi wao ni wale ambao umri wa kugombaniwa na wanaume umepita kundi hili ndio wateja wazuri wa waganga wa kienyeji kwaajiri ya kusafisha nyota na kununua MGAGANE, ili aweze kuwanasa wanaume.

Tatizo lililopo ni baadhi yao wako very complecated, anaweka sifa na vigezo utafikiri ametoka kufanya NECTA Mwaka jana. Wadada, ukiwa kwenye fainali usisumbue bidders (watarajiwa) kuwa mnyenyekevu shukuru kwa yeyote anayekujia mradi anaakili timamu na anaweza kujitegemea na imani zenu ziwe sawa achana na kutafuta HB mda umeshakuacha!

Karibu tujumuike

Onyo, nothing personal here so don't come crushing to attack an innocent messenger like me.
 
Aise wewe naona unawachokoza
Hujui kama kuna outing?
Hujui kama wao bado wanataka ujana?
Unadhani wao hawataki mtu wa kuongea naye yes, no wakiwa mahali pa watu ili nao waonekane?
Unataka wawe na vigezo vichache wakati unajua wana watoto ambao wnategemea mwenye angalau degree moja atamudu kuwasesha saint nanilii kama mama amina?
Hembu watake radhi bhana!
NB: wakiacha kuchagua watapata waume tena wazuri tu!
 
popote ulipo ex wangu njoo usome huku, nashangaa huyu mwanamke nilimtema kwakuwa alikuwa jeuri sana,nikimkanya kuhusi magroup yake ananiambia sina uwezo wa kumuonya, mbaya akaja akacheat na jamaa flani baada ya kumuuliza akaniambia yule jamaa ni man of God yaani ni mlokole baadae nikaajiriwa ofisi moja na mskaji nikagundua jamaa ni kicheche mbaya, sasa huyu manzi amezalishwa saivi na mume wa mtu hana ramani tena,jamaa aliyemzalisha anamwambia hamtaki mtoto yule na wala asithubutu kumpigia simu wala upuuzi mwingine wowotw wa mtoto,saiv ndio anarud kwangu eti nimemwambia zama zimebadilika nani anataka vitu USED saiv wakati msitu umesheheni wanyama wa kila aina saivi ukitaka twiga, ukitaka punda milia, ukitaka sijui nini wote wanapatikana.
Mkuu pia baadhiwanakuwa wametoa mimba kibao mpaka kizazi kimelegea halafu pozi zito kama naye ni bae.
 
my topic is general it is applicable to any one sir. i hope real G does not represent real girl my dear. sorry for the unguided missiles
no need for sorry, mind life lako na mke wako au demu wako, problem za mademu au watu wengine kuzijadili naona ni kukosa topic unless you have a problem with them
you got it? have a nice day
 
hivi kuna wanaume desperate? ambaye nae anaomba japo apate mwanamke wa kumsitiri?
 
i enjoy freedom of expression as it is indicated in the constitution,you don't have legitimacy to stop me from airing my view. the fact that the rest of the people are comfortable and enjoying the debate i don't give a shit about you.
if you were the invisible or moderator people could be in a big trouble in jf.plz just gelala here(get out of here)
 
hivi kuna wanaume desperate? ambaye nae anaomba japo apate mwanamke wa kumsitiri?
money speak my dear! men can only be lonely when they are penniless dead meat
 
Aise wewe naona unawachokoza
Hujui kama kuna outing?
Hujui kama wao bado wanataka ujana?
Unadhani wao hawataki mtu wa kuongea naye yes, no wakiwa mahali pa watu ili nao waonekane?
Unataka wawe na vigezo vichache wakati unajua wana watoto ambao wnategemea mwenye angalau degree moja atamudu kuwasesha saint nanilii kama mama amina?
Hembu watake radhi bhana!
NB: wakiacha kuchagua watapata waume tena wazuri tu!
Hata kumwita bby unashindwa! labda umwite Mama swalehe.
halafu pozi na masharti hataree
 
Back
Top Bottom